View attachment 3155598
The MoNA unaielezea vipi kitaalamu Mkuu ?
Amesema ukweli wa alichokishuhudia Slot wa Feyernood na huyu wa sasa.
Its a naked trough LFC haichezi anavyotaka Slot, ni ngumu kuondoa idea iliyosimikwa kwa miaka 9 (minus minne ya mwanzo) utapata miaka mitano, yes not easy but Slot tries to implement his gradually. It will work probably. Kwenye ball possession unaona in the last 7 games tulikutana na real possession football na uliona tulivyokuwa tunateseka nayo, why?? Lack of βpossession playersβ.
Kuna moves huwa zinatokea unaona kabsaaa huyu akipiga kwa X au kwa Y itakuwa better move kutoka na option watakayokuwa nayo X & Y watakapopata mpira ila huyu player atachagua option utajiuliza WHY?
Utapata kujua its about quality. Under Slot unahitaji wajuzi wa miguuni na wingi wa akili, utapata kilichobora sana.
Lakini kwa sasa hana wachezaji hao, wapo lkn kwa anachotaja Slot inawachukua muda kuuelewa ila utekelezaji pia kinakuwa kipengele.
Ile games vs utd ile ndio Slot anataka kuiona. Au vs Ac Milan.
Tupate Sita wa maana i will still recommend Zubiβ sita ni kiungo kiunganishi ukipatia hapo una win vingi, remember prime Faby, tulikuwa hatari sana, alipo drop tu tulitafutana. Kikosi ni kile kile kocha ni yule yule ila udhaifu kwa no. 6 timu ikakosa balance.
Ynwaβ