Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 1,396
- 2,704
Yamchongo sanaKwa hii penalt VAR kama imetuonea hivi
VAR wameanza kuzingua!Yamchongo sana View attachment 3160474
😀😀Majiran naona hali yenu si shwari..!
Ila sisi man u tunawaombea mshinde hii game mda bado mnao..!
Naona maca anaingia diaz anakosa clear chance😀😀Hii mechi inawahitaji Diaz,Allister na Elliot
Hii mzee sare mbili mbili na tusipokaa sawa tutapigwa tatuHuu ungese timu ya mwisho inatufunga
Ule ugonjwa haujaosha