Yaani sisi wanaume kuona kiuno cha nyigu tayari tushajumlisha na kutoa na tumepata majibu😂😂
Saint Anne
Premier league haina mechi rahisi.Dah! Niliichukulia hii mechi ni rahisi 🤣🤣
Naunga mkonoSalah apewe mwaka mmoja zaidi!
Ulisikia wapi??Watakatifu nyonyoeni uyo broiler 🤣
Apewe mkataba wa maishaGIVE HIM THE CONTRACT......KEEP HIM FOREVER.[emoji837][emoji837][emoji837][emoji837]View attachment 3160523
Nilijiunga jf nikiwa na 35 na kitu28yrs old to 34yrs
Shauri yenuYaani sisi wanaume kuona kiuno cha nyigu tayari tushajumlisha na kutoa na tumepata majibu😂😂
Saint Anne
Nyie kuku broiler mmeanza kujipa matumaini ya ubingwa hata mech 20 bado 🤣
Subirien zile game nne za Christmas ndani ya siku Saba
Mtanyonyolewa has vipele
Shauri yenu
Nikishajimwagia grand malt
Kitambi hicho kinajaa
Angekuwa Allison jana tungeongea mengineHabari yako Mwanaliverpool 👋
Vipi Alison asirudi tena golini aendelee Kellehar?
22 nimepita enzi za mwalimu22yrs old
27 age ya kina Mona hiyoView attachment 3160585
Mikono ya kitoto kabisa hii 24-27 hii 🤣🤣🤣
Ila city kapoteana vibaya
Our performance over the last four games haijawa complete1/3 of the race done and we are top of the tier. Come on Reds.
Inatakiwa hizi forums za timu kuwe na modereta wa kuondoa matusiHivi dogo ulilelewa na Baba na Mama yako ? Mbona hauna adabu ?