khe khe khe khe khe khe khe khe.........
Man United mtagombea nafasi ya 4 na Arsenal!Mm yangu ya 3 ipo pale pale
Your players have no legs ehehehehe!Kila siku kuumia
Leo hutoki salama St Mary's Stadium!Kuna mtu pale anaitwa Pelle machachari mno akiwa kwake

Hahahaha!! Hizi ni ndoto kuwa nafasi ya 3,kila siku kiwango chetu kinapanda tofauti na nyie, Mzima lakini bro?
Nipo natoka kazini sasa nielekee Vingunguti niwe natafuna mbuzi kidogo nikiwa na watch Todic na Pelle wakiwapiga leo
Hahahaha!! Hapigwi mtu hapa,aisee mie niwekee mbavu halafu kachumbar safi na kapilipili
Team yako kila siku wanaumia!Leo nani kaumia hatacheza?Asipo cheza Keeper De Gea mnapigwa kiurahisi maana ndiye anaye wabeba
Team yako kila siku wanaumia!Leo nani kaumia hatacheza?Asipo cheza Keeper De Gea mnapigwa kiurahisi maana ndiye anaye wabeba
Man United mtagombea nafasi ya 4 na Arsenal!Mm yangu ya 3 ipo pale pale
Your players have no legs ehehehehe!Kila siku kuumia
Leo hutoki salama St Mary's Stadium!Kuna mtu pale anaitwa Pelle machachari mno akiwa kwake
Hahahaha!! Kuanguka kwingi ndiko kushinda, sasa ninyi wazima vipi mambo hayaendi kulikoni but lets wait the show....
Hongera mkuu!!
Haijalishi mmecheza vipi what is counting ni points 3 muhimu!
Sasa tujiandae na EPL derby Jumapili
tieni maji kabisa msije kuondoka mmepigwa kipara na kichwa kinauma....! hii timu yangu ni mbovu lakini iko nafasi ya tatu siku ikiwa nzima imekamilika sijui tutakuwa wapi.....
EPL Derby haina mjanja lkn!Hata team nzuri ya Babu ya akina Japp Stam bado Liverpool aliweza pata point OT
sisi mwaka huu wabovu tu...ila tunabahatishabahatisha karibuni OT mje mchukue points tatu.....
Bao la 2 nilikukumbuka sana hadi mnofu haukumezeka!!
Kwa kweli ni shidaaa
Hahahaha!! Pole sana nilikwambia tunashinda umeona ehh?? Sasa nasubiri mechi nawe hahaha!!! Loh!! Patamu hapo,siku hiyo tutakula mbuzi mzima mimi na wewe tu.