Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

good spirit by the team!!!

the biggest mistake today was starting quansah as the right back and kuchelewa kumuingiza trent......trent angeanza hii mechi ilikuwa uchi sana ila naelewa concern ya mwalimu na majeruh,i prefer gomez as the right back quansah can't even make a run forward and he was not defending comfortably at that position

yule msomali kwa kweli kuendelea kucheza nyukasto ni matusi kwa timu kubwa...... he's incredibly good at what he does🙌
 
Quansah hajiamini! Arudi bench tu hakuna namna!
Nafikiri Slot ndio ame misjudge kumpanga kamaRB badala angempanga na van Djik kati kisha Gomez acheze RB. Quansah atalaumiwa lakini mimi naona kocha ndio kazingua, huyo ni beki wa kati wakati Gomez yupo versatile zaidi anaweza kucheza RB na hata LB.

So experiment ya Slot imefeli na atakuwa amejifunza kitu. Hatarudia tena hili kosa.
 
Quansah hatakiwi kucheza popote pale, he is just liability na atacuost pale unapomuhitaji zaidi. ( Slot atalifanyia kazi)

Kuhusu Nunez nadhani huu ndio msimu wake wa mwisho Liverpool ( his game time is limited under Slot). Nafikiri Slot ataomba striker mwingine dirisha lijalo. After tapeli Keita basi Nunez ni Worst big money spending under JK, hata yeye alimshinda.


Next match ni kufa na kupona maana Everton msimu mzima wanatrain ili kucheza na Liverpool either wapate ushindi, sare ama watupe majeruhi
 
Huyu dogo bhana, alitucost kitoto sana last seazon

Keheller, ni alert mistake bado ana la kujifunza sio mbaya sana
kuhusu mistakes.....mm naona Allison ndo bingwa wa mistakes kuliko hata kelleher na ukumbuke hiyo jana kelleher ameokoa mistakes za mabeki kama mbili ambazo zilikuwa za wazi kabisa tunafungwa

sh*t happens
 
binafsi nimeshangaa kwanini ampange dogo rb wakati ni cb, na gomez hucheza rb mara nyingi,

sometimes makosa ya makocha yanawagharimu wachezaji, huyu dogo confidence itakua chini sasa mana ni mara ya pili anatolewa kwa kucheza chini ya kiwango!
 
Nimeangalia goli la 3 la Newcastle. Odds za kipa kuacha mpira upite kwa hali ile, halafu mtu aweze kuufikia na kufunga kutokea angle ile zikoje? Ni kama vile lile goli limetokea tu ili ulimwengu upate ki video kingine cha kushangaza kwenye compilations za YouTube.
 
YOU NEED THIS KIND OF MOMENT IN LIFE NOT ONLY IN FOOTBALL”,.

Kwa hiyo nani alaumiwe??
Slot? Kelleher? Nunes?? Trent??

Ndio maana unapendwa na wengi.
Nilisema natarajia aggressiveness from Newcastle they did it first half mostly and it paid them. Ilikua St. James Park,

Kabla ya mbinu yoyote ile shinda kwanza mapambano mengi uwanjani, aerial duels, ground duels, second balls keep running without the ball to retain it, stay compact, kisha mbinu zifuate na technical abilities zifuate.

Newcastle walipress with many bodies (six players pressing), wide and narrow pressing ilitumika mostly first half.




Funga njia zote hakuna pasi kumfikia Macca/Graverny, na ikifikia hakikisha hawageuki kiwepesi apate taabu kufabya turns especially Gravern. Aahh we struggled enough with their pressing.
On paper walianza na 4-3–3 ila ilipigwa 4-5-1 defensively. Joelinto marked Garvern played man to man with him alimuweza Gravern sana with height hawajaachana sana, nguvu hawajapishana sana, energy hawajapishana sana, it could be easy kwa Joelinto kwa sababu ya tactic ya Howe pia favour him. In case Joelinto caught off guard Tonali alifanya good back up ku deal na Gravern hukuJoelinto alideal na Macca.

Bruno akakomaa na Jones, na ukiwim battle at the middle of the park you are dead mostly. Izak alikuwa more dangerous jana why, it was a big match anajua anahitaji nafasi chache atakazozipata kuwin and he did the same.

Why Newcastle won us, weak RHS Gomez & Quansah, i feel them by now but it is part of football, ni vile tu Vvd didnt commit any error iliyosababisha goli au kukoswa koswa, he wasnt at his best not not at his best.

2nd half always Slot tried to come up with a new plan, kuongeza bodies kwenye MF, kwa ku opt kubuild na back three na akashift to 2-3 kumuongeza Quansah aingie kati ili kuishinda press ya Newcastle.

Yes it works na tulifanikiwa kudominate somewhere ila Gravern alizidi kuwa chini ya ulinzi ndipo Slot akaona isiwe tabu akamtoa Jones akarudi double pivot na Macca, it works alot alot alot, Jones ni mzuri technically na yeye huwa hafanyi half turns mostly, na aliiwin MF ya Newcastle big time compare to Gravern.

Akamuingiza Trent at the perfect time BOOM it works properly two assists. You know what, world class is just a world class, pasi za Trent, na Salah kenye magoli ya jana ni world class passes, did you see Salah’s outer assist?? Next level.

Jones amekuwa na msimu mzuri sana so far, alipocheza as 10 hakuonekana mwenye madhara, aliporudi deep alionesha ubora wake. Jones ni mzuri akicheza as 8, au as 6 kwenye double pivot ila partner wake awe na uwezo wa kukaba.

We were awful defensively & Newcastle used that effectively, wana washambuliaji wasumbufu na wenye uwezo wa kufunga.

Je, Slot alikosea selection?? Jibu langu ni hapana hakukosea, isipokuwa quality iliamua otherwise. Wengi walitamani Trent aanze but Trent aliachwa kwa sababu:

1. Kulindwa na majeruhi kumbuka alitoka kwenye injury na ile mechi ilikuwa too much physical, aggressiveness no mercy.

2. Tactctical issues. We all know trent has weakness defensively but offensively ni mzuri sana.

Option ilikua kama angekuwepo Konate Trent angeanza, but you have Gomez/Quansah its would be a risk kwa sababu haujawahi (Slot with his staff) kuona before inavyofanya kazi. Quansah as RB wengi wanaquestion hili. Quansah academy alikuwa RB ni namba yake ya makuzi hiyo anaielewa ile role vizuri, bad lack to him he lacks confidence since Ipswich game na Brighton (two errors leads to goals).

So selection was ok regarding with the injuries we have, until 90’ after Kelleher horrible and Trent.

Goli la tatu was totally unprofessional. Why?? Trent & Kelleher both played an assuming game. Kelleher ali assume mpira utatoka ule, je kwa nini alitoka na aka assume vile?? Trent didnt mark enough na kuhakikisha Yes mpira umetoka tayari.


Crucial moments. But we failed big time 75% makosa ya Kelleher 25% makosa ya trent poor marking. Kuna watu watasema mbona AB1 anafanya makosa, huwezi kudeal na makosa ya mtu kwa kuthaminisha na makosa ya mtu otherwise, utataka kumbeba huyu na kumuacha huyu.
Yes Kelleher amefanya kosa kubwa mno not unprofessional, fungwa magoli mepesi lakini usicheze kwa ku assume even a single sec, until its out ndio useme umetoka. Poor marking from Trent. Best of luck to both of them, it happens kwenye mpira na ibaki mara moja moja.
Give Kelleher vs Everton full 90’

We feel like we have lost yes kutokana na aina ya magoli tuliyoruhusu jana. We are on, now. Its a wake up to us, hii WWWWWWWW huwa inalevya na hauwezi kuona weakness zako.

What are we lacking?? reliable quality players.

Nunez
will be his last season, honestly its hard to defend this man by now. 2.5 seasons but still the same player, He is so good I love him, i love his desire and game play but his misses hit me up deadly. Nunez sasa hivi hata kuangalia goli limekaa aje GK position, his position wala hajisumbui anapiga tu mpira ili mradi ame shoot.
Nafikiri after the game jana Slot alimtafuta Hughes na kumuambia I need Striker i need CB.

Jota is good ila you cant rely on him mwezi uwanjani mwezi wodini,

Imagine life without Salah game like Yesterday?? Hahah inaogopesha, Imagine game ya jana hauna Vvd heheh inaogopesha sana.

Konate, Jota they are too good on their primary duty but not reliable.

Gomez, has a bad bad game yesterday, hope he will wake up vs Everton, Quansah regardless of the bad game he had, i liked his focus and concentration, his passes were qaulity indeed ni ngumu kuona ukiwa unaangalia matokeo tu, i liked his passing game.


Vs Everton pale Goodson Park, utaona Everton ikigeuka prime Chelsea ya Mourinho”,. [emoji81] Pickford will be prime Buffon, itapigwa Low Block ya maana sana hiyo ni kufa kupona. We need Trent, give Quansah start vs Everton

We are still good to go. Our target ni top four, Trophies are bonus before start of the season, kuongoza ligi ni surprise we didn’t expect.

Until it is mathematical secured, the we will celebrate our bonus archievements, otherwiae lets keep enjoying the ride.

Know you can’
Ynwa’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…