kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Nimekusoma ila chelsea anacheza mechi ya 16 leo jumapili!Kaangalie msimamo sasa hivi wamecheza mechi ngapi ? Halafu urudi hapa sasa hivi ,chelsea mechi 15 na Liverpool mechi 15 tofauti ya points ni 5.
Huyu dogo tum pm Slot huko fbKuna Dogo anacheza Napoli anaitwa David Neres,, winger ya kushoto, huyu dogo anamwendo kama Sane,, kipara akimuona sidhani kama atamuacha.
Dogo ana balaa. Liverpool kama kawaida wali m scout akiwa Ajax lakin kama ujuavyo FSG mpaka watake wao ndio dili lingepita...Kuna Dogo anacheza Napoli anaitwa David Neres,, winger ya kushoto, huyu dogo anamwendo kama Sane,, kipara akimuona sidhani kama atamuacha.
Kijana pole kwa kupunguzwa speedDogo ana balaa. Liverpool kama kawaida wali m scout akiwa Ajax lakin kama ujuavyo FSG mpaka watake wao ndio dili lingepita...
YNWA
Wapo wanaopoteza kabisaHizi draw mnapiga hizi
At some point we were linked with himKuna Dogo anacheza Napoli anaitwa David Neres,, winger ya kushoto, huyu dogo anamwendo kama Sane,, kipara akimuona sidhani kama atamuacha.
Naona dalili mnalazimisha Chelsea achukue ubingwaSa
YNWA
Liver kapata chance ya kuwapiga gap wengine anaanza zipanga draw za hapa na pale ni hatari kwenu mkuu, kumbuka 2019 nadhani ile. Mpaka city akaja kua mbele na kubeba ndoo yenyewe, draw ni hatari sanaWapo wanaopoteza kabisa
Including wale wa till next episode
Liverpool wamejitahidi wana kuwepo hapo walipoLiver kapata chance ya kuwapiga gap wengine anaanza zipanga draw za hapa na pale ni hatari kwenu mkuu, kumbuka 2019 nadhani ile. Mpaka city akaja kua mbele na kubeba ndoo yenyewe, draw ni hatari sana
Ingekuwa kwa Timu nyingne wote watarudi nyuma kupaki Basi.Despite playing with 10 men for majority of the game, Liverpool still found a way to create chances 👏
Liverpool $ Arsenal are cursed, sitashangaa chelsea akachukua ndoo hata City may rise from nowhere na kuchukuaOooo eti tunachukua ubingwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu kama umeangalia mpira vijana wamepambana sana, na tulikuwa tunashinda kwa upambanaji ule sina chakuwadai aisee.Ingekuwa kwa Timu nyingne wote watarudi nyuma kupaki Basi.
Kwa matokeo haya vijana wamepambana mno
Bado naamini kwamba konate na Alexis make vvd and graven betterArne Slot on Ryan Gravenberch:
“Impressed, like everyone who was in the stadium or saw the game. Ryan did outstanding again.
Without the ball, he was mostly in our last line. He had to play against sometimes the nine, against wingers who are really fast and with the ball, he came into the midfield.”
Duh kwamba mpaka sasa mzunguko wa kwanza bingwa anajulikana ama.Kijana pole kwa kupunguzwa speed
Hello The MoNA nakumbuka vyema sana ulinijuza with fact kwa nini tunahitaji kusajili LB na bila shaka kwa haya yanayoedelea asajiliwe tu hakuna namna...Hello Captain Marvelous.
Unakumbuka nilipokuambia kuhusu Robbo last few weeks??
The guys he is no more aise, na imezidi kujidhihirisha hilo. Within last 10 matches amefanya makosa mengi yaliyotugharimu na yasiyotugharimu. Ni mzuri akiwa back up but not week in week out player. LB mmoja reliabla halafu iwe Robbo au Tsimi mmoja apishe nafasi.
Though jana had a knock kwenye lile tukio la Diop aligongwa kidogo. As per Slot alifikiria kumtoa ila Red card ikamuwahi, probably ilimfanya ashindwe ku control ule mpira.
Ynwa’