Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Gomez hamstring injury! This can make him out for the rest of the season.

Now we've to pray for Konate's speed recovery.

Kwasasa hawa Watu Watatu wameshawaka hawapaswi kupata injury yoyote kwa msimu huu πŸ‘‰ SALAH, LUCHO na GAKPO
Hofu yangu bila Gomez na Konate ni Quansah hajawa na utulivu pale nyuma ana mengi sana ya kujifunza. Itakua jambo njema Slot amunzishe Endo pale CBR badala ya Quansah.

Quick recovery kwa Konate.

YNWA
 
Gomez hamstring injury! This can make him out for the rest of the season.

Now we've to pray for Konate's speed recovery.

Kwasasa hawa Watu Watatu wameshawaka hawapaswi kupata injury yoyote kwa msimu huu [emoji117] SALAH, LUCHO na GAKPO
Habari mbaya sana hii, imagine Quansah tena against united[emoji52]
 
Kiswahili huwa kinamsumbua Captain mpaka apeleke Google translate πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kweli maisha yanatofautiana
Wakati wengine tukihangaika na kiingereza cha kuungaunga hadi google tunaenda
Bobby yeye anahangaika na kiswahili.

Shida hataki kujichanganya huku uswahilini.. mwezi mmoja tu anakimaster kiswahili chote .
 
Arne Slot has explained that Federico Chiesa's exclusion from the Liverpool squad was due to focusing on his match fitness. They decided it would be more beneficial for Chiesa to engage in extra training sessions rather than join the team for this match. This approach indicates a strategy to gradually build up Chiesa's readiness for Premier League action.
 

Ushangiliaji wa Trent jana umezua gumzo sana mitandaoni.

Wengine wanasema anamuiga rafiki yake Bellingham na wengine wanasema anawapa maua yao Maboss wa Liverpool. Bado haijafahamika kwanini alishangilia kwa mtindo huu πŸ€·πŸΏβ€β™‚οΈ
 
Ngoja aendelee kumuiga
Anachokitafuta atakipata tu muda si mrefu akishaondoka Liverpool.
Kanajiona kastar sana, ukweli ni kwamba ni mchezaji wa kawaida na Wala hawezi kuyumbisha timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…