Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Mie ndio bhana kumbe nani.....
Uishie apo apo😎😎😎😎

Thanks ticha wa mie 😍

YNWA
Naishia hapahapa ila tuanze darasa la kiingereza.

Wewe kiswahili hutaki tu kujua bwana
Yaani nchi nzima imejaa waswahili,, wewe unajifungia na wenzio wazungu🀣🀣
 
Ay hapahapa ila tuanze darasa la kiingereza.

Wewe kiswahili hutaki tu kujua bwana
Yaani nchi nzima imejaa waswahili,, wewe unajifungia na wenzio wazungu🀣🀣
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣

Fingers crossed Sunshine.

YNWA
 
Oyaa a Ollachuga lile timu lako sijui mmekula maharage ya wapi aisee mnajamba tuu.
 
Man U wakifungwa nafurahi sana, sasa wanaenda kushuka daraja...napata amani sana
Shuleni + chuoni nilkuwa nakosa amani, siangalii mechi kwa raha walinicheka sana
 
Hahaha Miss Liverpool mbona nipo uswazi aisee huko uzunguni wapeee.

Much appreciation sunshine.

Nashukuru sana kwa shout out mwaka 2024. Tumekua pamoja sana [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]

YNWA

Kete hiyo umesogezewa comrade 🫠na mtoto mzuuuuuri kabisa.

Kama ulichungulia Avatar yake last few months, kuna wadau waliona mtoto mzuri shape Jesery ya Szobo.

Up to you, bro unakubalika hatari huyu hata mahari anajilipia anachotaka ni uwepo wako tu, mengine muachie yeye.

Happy New Year 2025 in advance.

Ynwa
 
Chelsea walau wanajaribu unaona wana good flow, bahati mbaya kwao defensively issues wana weakness,

unlike utd wanatia huruma. Ila huruma yao ni furaha sana kwa Kop yeyote.

Happy New Year 2025 in advance.

Ynwa
Hakika Hakika mkuu mimi natamani man u waipite Ile miaka yetu nawazoom na kuwahesabia. Wali kuwa na midomo Sana kama chuchungi.
 
Man U wakifungwa nafurahi sana, sasa wanaenda kushuka daraja...napata amani sana
Shuleni + chuoni nilkuwa nakosa amani, siangalii mechi kwa raha walinicheka sana

Eras com to an end.

Tatizo la utd sio kocha ni mfumo mzima wa timu yao unahitaji marekebisho makubwa sana.

Walimuajiri Sporting director chini ya miezi mitano (if im not mistaken) akajiondoa klabuni, utaona jinsi gani kuna mengi behind the scene.

Wanahitaji kocha mwenye uwezo wa kujenga timu from the scratch bila kuingilia na apewe muda atleast 3-4 yrs.
Wanatakiwa wakubali tu, kuanza upya wasijichukulie ni timu kubwa. Amorim anaweza kuwafanyia kazi hiyo ila it will take time.

Kuna makocha hawana profile kubwa ila uwezo mkubwa, waanze na profile ya kawaida ila uwezo mkubwa malengo makubwa after 3 yrs hivi waanze kumdai, huku wakifumua mifumo yote ya kiuendeshaji.

Je wapo tayari?? Jibu ni hapana

Waendele kuteseka kwetu ni shangwe na mjini amani inatulia.


Happy New Year 2025 in advance
Ynwa’
 
The MoNA Wana Liverpool wote

Mimi ishu inayoniumiza ni Performance ya Robbo aisee amekuwa anafanya blunders kibao zinazo sababisha magoli au yeye kulambwa Kadi. Sijui Slot anamsaidiaje? Maana huyu nae amekuwa na sisi nyakati nyingi mbaya na nzuri tumekuwa naye na ukizingatia pale AXA training yeye ndio Comedian na gossiper wa timu. Je kuna namna ya kumsaidia ili asiwe anasababisha makosa? Kama vile ambavyo mara nyingi Konate amekuwa akifuta makosa ya TAA? Kuuzwa sio haki kabisa. Je awe ni back up ya beki mwingine atakaye sajiliwa? Baada ya Tsmiskas kuondolewa?
 
Una kitu usikilizwe mkuu Mona ongea hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…