Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Una kitu usikilizwe mkuu Mona ongea hapa.
Robbo anatia sana huruma sijui Slot na jopo lake anamsaidiaje?
Tumeona wachezaji wengi viwango vyao vimekuwa improved.
TAA defensively amekuwa bora sana
Gravern amekuwa ni Moja ya viungo bora sana
LUCHO sometimes unahisi Bobby yupo uwanjani
Konate asipokuwepo uwanjani wote tunahuzunika
Gakpo naye ni wa moto
 
🤣🤣🤣🤣Hata sija angalia hio avatar aisee. Ngoja niitazame.

Thanks buddy.

Big up sana kwa in depth analysis mostly after games.
Happy prosperous 2025.

YNWA
 
Clean.

Msimu huu amekuwa championship defender.

Ynwa
Yupo stagnant mode aisee. When and where he will restart sijajua kabisaa...inaanza kule mazoezini aafu inakuja direct in real game.
Amekua accorded real chances to show the gaffer why asitupwe championship kwa mkopo kazi kwake kukumbatia fursa na kusepa nayo positively.
We need big time results not jokers hakuna margin of error, case study Manchester City waleee.

YNWA
 
Mtoto wa elfu2 una mambo 😂😂😂
Bobby binamu yangu huyo
Ila nampendaga sana huyu Kaka aisee..
Mzungu wa roho na maandishi yake.
 
Nilitaka nishangae
Hujajichanganya uchat kiingereza
 

Ishu ya Robbo nafikiri ni wakati wa kufanya maamuzi magumu. Ama klabu au yeye.

Yes he is our Legend, lkn option ni mbili ama akubali kuwa back up au aondoke mazima. Kwa sababu kuwa back up kwa mtu kama Robbo still atakuwa strong candidate kucheza incase of injuries, suspension and unfortunately huyo atakayesajili je asipo click?? Antone Robinson naona ni perfect Robbo replacement.

Sometimes maisha hayahitaji huruma, si huruma inazaa dhambi?? Klopp angeondoa huruma kwa kina Ox, Milner, Keita, Thiago angelibeba atleast 3 EPL & 2 CL. Huruma yenye kiasi na yenye muelekeo chanya ndio inayotakiwa.

He is our legend yes.!!! Lkn jiulize hiyo huruma akionewa na klabu makosa yake yakatugharimu itakuwa na msaada??

Do you think errors anazofanya ni coachable kwamba apewe muda?? No he is on 30’s hana cha kufundishwa ni yeye mwenyewe kuongeza umakini and not umakini pekee utamsaidia but he lacks technical issues.

Ile nafasi inahitaji mguu wa kushoto wa maana. Robbo ni mzuri mkitumia high pressing game, akicheza mbali na goli lake. Atleast season iliyopita timu ilicheza mbali na goli, though alikua na errors bado, season hii zimeonekana kwa sababu timu inacheza karibu na goli lake, thats why makosa yake msimu huu yanaigharimu timu.

Mechi vs Westham alifanya kosa ambalo walikosa ufanisi tu.

“Success are for ruthless men”

I will take New LCB & Tsimi and open a door for Robbo (My opinion).

Ynwa’
 
Msaada wa kumsaidia ni kumuuza tu
Jamaa limekuwa tapeli sana la mpira.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata sija angalia hio avatar aisee. Ngoja niitazame.

Thanks buddy.

Big up sana kwa in depth analysis mostly after games.
Happy prosperous 2025.

YNWA

Amebadili, tayari baada ya masela kurusha sana ndoano.


Thanks mate have the same wish.

Ynwa’
 
Slot kuhitaji ni jambo moja na FSG kumpa hao wachezaji ni jambo lingine kabisa. Tuna wamiliki wa hovyo sana hawajui kukumbatia fursa hata iweje wao wanatembelea nyota za makocha.

YNWA

Wanacheza na vitabu vya mahesabu wahuni wale, bahili.

Gomez
Nunez
Tsimi/Robbo

Hawa 2025/2026…!!! Huenda ikawa kwa heri.
Ynwa
 

Hii window ataondolewa aisee sio akiendelea kubaki, lkn vipi kwa pancha za Gomez & Konate na Slot hajahakikishiwa good new comer?? Itategemea na WT itasemaje. Quansah anahitaji more games na hiyo atapata huko Championship. EPL ngumu especially duru la pili tunaloelekea we need men, worriors.


Ynwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…