Ipo hivi nduguWe won thee against them
Tuaijipoteze fahamu
We have clueless owners who only care about the brand rather than the pitch success winning trophies etc, this season walibet tutakua worse hukoo chini kiasi hata ma star players wataomba wenyewe kusepa ambao ni VVD, Salah, Trent na Allison au mikataba ingeisha so FSG waka relax wakisubiri pengine hata tuikose big 4 then hapo ndio waanze kumwambia Slot aanze na wachezaji wa aina hii kutengeneza kikosi chako otherwise how do you explain this situation ambayo tupo nayo hapa, its well documented Gomez, Konate will never give 20 games consecutively so how did they lets 2024 June pass bila kuingia sokoni is scary kabisaaa na tupo January wanajua huu ndio wakati to make amends walipokosea June lakin wenyewe wapo kimyaaa.Again, Konate kuanza jana, inaonesha ni jinsi gani FSG walivyo incompetent, but hawa fans ambao wamejawa na chuki kwa players hawawezi ona hilo.
Tumesajili 1 centre-back in the last 5-6 years.
VVD is the only fittest CB in our squad, itafika muda, deep in the title race, tutajikuta tunamtegemea Quansah atuvushe, because Konate & Gomez cant stay fit, afu hakuna urgency yeyote ya kutafuta a CB cover in the market.
Tunaweza ku-come short again & lose the league kwasababu ya hivi vitu, but people will be so naive kuona.
Unawakumbuka adder and thr chimp?We have clueless owners who only care about the brand rather than the pitch success winning trophies etc, this season walibet tutakua worse hukoo chini kiasi hata ma star players wataomba wenyewe kusepa ambao ni VVD, Salah, Trent na Allison au mikataba ingeisha so FSG waka relax wakisubiri pengine hata tuikose big 4 then hapo ndio waanze kumwambia Slot aanze na wachezaji wa aina hii kutengeneza kikosi chako otherwise how do you explain this situation ambayo tupo nayo hapa, its well documented Gomez, Konate will never give 20 games consecutively so how did they lets 2024 June pass bila kuingia sokoni is scary kabisaaa na tupo January wanajua huu ndio wakati to make amends walipokosea June lakin wenyewe wapo kimyaaa.
Yaani kua na owners design ya FSG ni century curse wapo kwa ajili ya kujitajirisha tu hakuna kingine imagine tupo Carabao, UCL, EPL, FA na kote tukiwa na chance ya ushindi lakini wenyewe hata tetesi za beki au MF fulani hakuna, Uingereza ligi inahitaji owners kama Roman anaesepa na fursa au Mansour.....
Playing Konate juzi was suicidal yaani he was scared as hell sikumbuki akiwa brave enough for a proper tackle aisee of which akiwa mzima that his trademark no fear....
Kwa sasa let's pray n hope angel luck be with us kwa VVD, Gravenberch na Salah etc wawe wazima wa afya no ishu kabisa then tutakua a bit safe chasing the trophies..
Seems Slotmania has caught FSG off guard kabisa they didn't have any clue the bald baddest gaffer is capable of bringing balance haraka kiasi kile its like they pinned thier hope its will like Klopp 4yrs rebuilding then we explode to the summit haha come to think of this and you will realise FSG are caught pant down hawaelewi how to handle Trent demands, Salah or VVD demands sana sana hapa kuna mchezaji atauzwa tu hakuna kingine na ukitazama tupo stocked in the forward line hivyo pale ndio wataanza nako ku raise cash n ku balance the payroll ili ku release funds za kuwalipa the 3 musketeers
YNWA
Hivi mech yako ya mwisho ulishinda?Kama nyumbu wanawasumbua hivyo hapo kwenu, sisi si tutawapiga mkono kabisa?
Fabrizio Romano huwa hadanganyiTetesi
Elon musk anaitaka Liverpool,hizi habari ni za kweli?
FSG hawawezi achia timu waleTetesi
Elon musk anaitaka Liverpool,hizi habari ni za kweli?
Absolutely, mate. The Liverpool fanbase is passionate, but sometimes we're too quick to criticize instead of appreciating progress. When you look at the transformation Slot has brought, it's like night and day compared to the end of last season. From the uncertainty of Klopp leaving to now being top of the league, that's massive work.
If anyone can win this league and prove the doubters wrong, it's Slot. We're used to fighting for the top, and now we're seeing the results of hard work. We just need to have patience and back the team, even when things aren’t perfect. This season is ours—let's support the boys and the manager all the way. YNWA!
All of them, bar Arsenal at Emirates & Utd at Anfield.Tell me his best game this season
You can’t be seriousAll of them, bar Arsenal at Emirates & Utd at Anfield.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Mate welcome to keyboard worriors haha hawa hawana break kwao wanajua one way traffic sio otherwise, ni kweli we toasted Henderson maana he was so average almost every game lakin there were times he performed miracles and we crapped very well lakin tangu dogo Trent aseme anataka kushinda Ballon ambapo wenye wanapatikana hukoo Madrid basi imekua looked kwa jicho la ziada especially kutoka kwa ma Pundits ambao wana followers wa kutosha kama Carragher na Neville...
Hata VVD au Allison kuna wakati siku hua mbaya sana haya mambo yapo having a bad day in office huwezi kukwepa kamwe.
Well jana is done n dusted lets focus next EPL game ugenini.
YNWA
The other day, nilikuomba, unipe 3 bad games za Trent this season, maana ulisema unazo nyingi.You can’t be serious
We seriously differThe other day, nilikuomba, unipe 3 bad games za Trent this season, maana ulisema unazo nyingi.
Maybe, tunatofautiana katika utazamaji wa mpira, hence nataka kuzijua hizo baadhi ya bad games.
Me, nimekupa za kwangu.