Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

KITAMBO SANA, NA WATU WAKASIFIA , SIJUI WALIPOTELEA WAPI HAWA WACHEZAJI KOBAK NA DAVIES😂
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Yaani Kabak leading the line tupambane na Kipara mwenye akina Diaz, Walker kazi kazi sanaaa...
Unajua hua tunasahau sana vituko vya FSG pale timu inafanya vyema kama sasa ama wakati wa Klopp lakin ukiangalia kwa kina usajili wao ulivyo zigzag utaona tuna jokers asilimia mia aisee...
Tutakua salama siku hawa FSG wakiuza hii klabu pendwa.

YNWA
 
Hii ni football kila mtu ana simamia kile anachoamini, Na kila mtu ana kipimo chake cha kupima Mchezaji mzuri /mbaya its football.

Think about the sheer volume of chances this team creates, Halafu ISAK leading the line - It would be UNSTOPPABLE.
Kwenye technical side ya football, hakuna unachosimamia/opinions, ni kuna facts.

Kabla, hujatamani Mchezaji wa team nyingine, zingatia kwanza style of play/shape/structure ya team yako, na upime kama ata-fit right in, or NO.

Kuna TOFAUTI kubwa sana kati ya STRIKER na CENTRE FORWARD.

For the past 13-14 years, LFC imekuwa ni point/ground ya mafanikio kwa centre forwards, unaweza kuanzia kwa Torres, Suarez, Firmino, Jota, na kwa kipindi hichi tumekuwa na "Strikers" (pure number 9s) ambao wame-fail ku-deliver, unaweza kuanzia kwa Caroll, Balotelli, Borini, Lambert, Benteke & now Nunez (Origi can be a special case). ndiyo maana nikasema inaweza kuwa ni tradition/way of life at LFC.

NOW, for the past 8 years, our main goal scorer amekuwa ni Salah, meaning our main source of goals ni Salah, sasa hizo volume numbers za chances unazozungumzia, source/main benefitor wake ni Salah, hencs ili ku-mantain hiyo shape/structure, unahitaji a centre forward, sambamba na Salah, a forward who can move the pitch/pass/dribble/run with the ball/press/assist/drop deep etc (Firmino & now a fit Jota), huhitaji an OUT & OUT ST, because he will limit Salah's movements, na hivyo ku-limit our chance creation volumes, last 2 season we had to put Salah on the touch-line, ili kuruhusu space kwa Nunez, what happened? volume ya chances creation ilikuwaje? msimu huu Salah ana-post hizo numbers kwasababu ipi? Salah hachezi kwenye touch-line now, ni kama yule Salah wa kabla ya Nunez, na siyo kwamba Nunez ni m-baya, hapana, but hakuna kocha anaweza kupoteza/limit numbers za Salah kabisa kisa Nunez or any other ST.

Messi, alifanya kazi na Etoo, Villa & Suarez kwa ubora zaidi, but he struggled kiasi na Zlatan, why?

Main source ya goal at City, ni Haaland, what happens kama Salah akienda pale? maana Salah ana-post numbers kama za Haaland at LFC? unaweza kuwa na 2 main sources za goals? how can you channel your chances creation volumes? Salah akienda City itabidi a-sacrifice his goal- scoring volume, ili kuwa second feeder kwa Haaland, because attacking system ipo well structured around Haaland at City, Nunez alivyokuja LFC, japokuwa ni Out & out ST he was forced to surrender his box presence ili kuwa second feeder kwa Salah, na ili kuleta balance Salah had to be put in the touch-line ili kutengeneza an Out & out 3-man shape upfront, ambayo ili-limit game ya Salah, na ku-limit game ya Nunez, because aliyetakiwa kuwa feeder wa Nunez, ni Salah, but we couldnt afford to risk that kwasababu he's our MAIN goal-scorer, so we had to find ways ya ku-make that issue work, na experiment haikufanikiwa, it happens in football.

Cunha, atafanikiwa, because game yake ni kama ya Firmino/Jota, perfect CFs for Salah, Trent & our MF.

Duran, atafanikiwa, because he's not the "last" man kwenye attacking actions, (kama Origi).

Isak, ni main man, for him kuwa on top of his game, ni lazima structure yako ya mashambulizi iwe AROUND him, he's the MAIN man at Newcastle, at LFC kama Salah bado yupo, hawezi kuwa Main man, because hana numbers za kumzidi Salah, mpaka useme u-sacrifice game ya salah kwaajili yake, hivi ni vitu vidogo sana kuelewa.

Newcastle wanacheza game tofauti na LFC, na sisemi kuwa Isak hawezi kufanikiwa at LFC, but atafanikiwa, but you need wingers like Diaz alongside him, siyo monstrous goal-scorers kama Salah, its so easy kwa Diaz kuwa feeder wa Isak kwasababu he's not a goal-scoring winger, but ni ngumu sana kwa Salah kuwa feeder wa Isak, kwasababu kwa numbers Salah yupo kwenye sayari yake, so kama unamsajili Isak, uwe na plan in place, i dont know kama Club ilimsajili Nunez ikijua kuwa Salah is slowing down, or what, but they had to re-shape Nunez game ili aende na matakwa system and thats where it started to go wrong.

Club ilikuwa inamuangalia kwa ukaribu sana Marmoush, ni aina ya CF ambaye Slot anamtaka, i dont know kama ataenda City, but huyo ni moja ya forward club ilikuwa inamtazama, hii inakupa picha gani?

Isak ni world class ST, he's a £100m player, i agree, but with Salah at LFC, can he be the main man? and its funny huu msimu ndiyo ameanza ku-hit his top form, game yake ime-evolve a lot this season, numbers alizokuwa ana-post at Sociedad or kabla ya hapo kwenye his loan spells wakati yupo dortmund hazikuwa za kushtua, Newcastle had to take a gamble, £70m on a striker with 33 goals in 103+ outings ni gamble ambayo hakuna big club inge-take, now sample size yake at Newcastle ni 44+ goals in 65+ games hizo ni numbers za a world class ST, na ni kwasababu Howe ametengeza structure yake yote around him, na he's delivering, but kabla ya hapo, his numbers zilikuwa sawa/close na Nunez, maana ni same cloth, but Isak ame-evolve, Nunez ame-stuck, it happens in football.
 
Kaka, LFC fans hawakushtuka kipindi kile, bado wanadhani tunawaponda FSG kwasababu ya chuki tu.

FSG wametukosesha vitu vingi sana as owners, sometimes tulikuwa tunajificha kwenye kichaka cha kuwa Klopp hataki kusajili, now hayupo, excuses zitakuwa zipi?
 
Nakubaliana na wewe kwenye hili, binafsi pia nilikuwa namlaumu sana TAA kwenyebishu ya ukabaji. Ila kuna mahojiano niliyaona ya Klopp wakati akiwa bado kocha wetu akilielezea hilo the same way ulivyolielezea.
Itishe kusema tu, sisi baadhi ya mashabiki tukimaliza kuangalia mpira ndio imeisha. Mahojiano ya wachezaji na makocha baada ya mechi ni kitu ambacho wengi wetu hatufatilii.
Alifanya makosa game na Man U sawa, lakini inatokea siku mbaya ofisini kwa yeyote. The same kwa Maguire kushindwa kumalizia msumari wa mwisho kutuweka msalabani.
Shukran MosDef
 
Mkuu hapo ni ishu ya timing( hiki ndicho kilichomfelisha zaidi Klopp, ukiacha pia sababu zingine)

Mfano 2018-19 City were suposed to beat us at Etihad ili ku close the gap na wakafanikiwa, what if it was viceversa?

Last seazon City have to beat Spurs( na unajua jinsi gani spurs anamsumbuaga City) ila kwavile City ilipaswa ashinde that time na alishinda( LFC tusingeweza)

Last seazon at that crucial time tulitakiwa tumfunge Arsenal at Anfield tuseal title race guess what happen, ukiondoa makosa ya refa lakini ile bigest chance missed ikatuondoa kwenye reli

Before last seazon, City walitakiwa kuifunga Arsenal ili waclose gap huku wakiwa na mechi mkononi na walifanya hivo( LFC tusingeweza)

Ubingwa hauamuliwi kwa kushinda tuu but timing ya kuwafunga wapinzani wako

Ni ujinga kumfunga united 7-0 when ur not even in tittle race kisha ukiwa kwenye title race humfungi at crucial time.
 
Hii round ya pili huwa ngumu sana hasa unapokuwa na mashindano mengi kama sasa ....pili wachezaji wanakuwa na uchovu ,Arsenal katolewa FL .sasa nasi ndiyo muda mzuri wa kupangilia game na kupynguza uchovu wa wachezaji kwa baadhi ya game
 
Allison haachagi maupuuzi yake. yaani akirudishiwaga mpira moyo wangu hautuliagi
 

Trent is not that popular among LFC fans.

People just hate him, for no reason.

He just want a better deal, kama LFC wakishindwa kumpa, wengine watampa.

Salah wants a better deal, VVD wants a better deal, Konate wants a better deal, but kwa Trent imekuwa shida.

These fans, wanajua deep-down kuwa Trent ni WC, haya maneno wanayorusha tu ni ku-save face, kama ilivyokuwa kwa Owen, Torres, Suarez, Sterling, Coutinho etc.

Mtu ambaye anaingalia hii LFC ya Slot, week in, week out, na bado ana-question defensive stats za Trent & his role, siyo wa kumchukulia serious now, ni emotions zinakuwa zinasumbua, bado anakiwa hajakubaliana na ukweli kuwa Trent anaweza kuondoka LFC.
 
We have got 2 fit CBs now, & Konate is not even full fit.

If we dont act hii january, then itakuwa ni UZEMBE mkubwa sana, & its not like tulikuwa na big summer.

for now looks like Slot will settle na Endo as a makeshift CB.
 
We have got 2 fit CBs now, & Konate is not even full fit.

If we dont act hii january, then itakuwa ni UZEMBE mkubwa sana, & its not like tulikuwa na big summer.

for now looks like Slot will settle na Endo as a makeshift CB.
Tumebakiwa na 2 senior CB, hii tayari ni crisis, If anything happens to Virgil, this team is done,It's a game over, Itakuwa ni disaster.
 
Mpaka hapa ishafahamika tatizo wala halikua Klopp Kupenda small squad mbali ni FSG kuangalia zaid wage structure na investment ya wachezaji kwao sio priorities kabisa.
Baada ya kusaini VVD Hatujawai tena kusaini elite CB kamwe, as Konate sio finished article when he came. Hii ni ishara kwamba aidha FSG ni wasoma nyota ambazo mara nyingi huegemea kutoa mazuri ama wapo clueless au hata kuangalia tu historia ya mafanikio ya Fergi aliyapata kwa kufuata mfumo upi wa usajili.
Hesabu za Fergi ubingwa EPL ilikua afunge timu zote kuanzia nafasi ya 5 kushuka mpaka nafasi ya 20 yaani alikua anapambana mno ajikusanyie pointi za kutosha ili akikutana na Big 4 wa enzi hizo akikosa ushindi iwe sare na hata akifungwo basi anapoteza pointi chache sana haya mahesabu Fergi ndio yalimpa mafanikio makubwa. Sasa unavyoona Liverpool ya sasa tunatoka sare na Fulham au Newcastle etc ujue hio kwetu ni hesabu inakua ngumu haswa.
Haya yote mwisho wa msimu yanatunyima ubingwa maana utakuja kutazama kipindi sare na vipigo vinatufuata basi kipara yeye ni ushindi tu hajui kingine.
Mara kadhaa tumejikuta na nafasi adimu kama tulipo January tunaongoza ligi na dirisha lipo wazi na tuna majeruhi lakin FSG watawalipa spinning master social media ionekana eti kwamba wachezaji wanaowahitaji hawauzwi hii January hivyo inapita kimya kimya, hakuna mchezaji asiena bei soko likiwa wazi ni kuonesha nia tu na kuweka of mezani.
Bila kuingia sokoni na kinachoedelea pale CBR kwa Konate, Gomez na Quansah basi tutegemee kuona Gravenberch au Endo wakicheza markshift CB na mech bado nyingi sana kwa kweli na point zinasaksa left n right.
Yangu macho tu kwa FSG tuone kama wanataka ubingwa au wanataka Big 4 na kusogea mbali UCL wakusanye ela za maana.
Hopeless FSG wanaboa.

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…