Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

We have got 2 fit CBs now, & Konate is not even full fit.

If we dont act hii january, then itakuwa ni UZEMBE mkubwa sana, & its not like tulikuwa na big summer.

for now looks like Slot will settle na Endo as a makeshift CB.
Its makes me to think Edwards was brought back to assist the new gaffer to mould another Liverpool machine ambayo ungekuja kushinda ubingwa 2026 hukoo hivyo ma staa players wauzwe ama waachiwe mikataba iishe waodoke huku tukiaminishwa its will take another 3 or 4 years Liverpool to compete for the Trophies EPL na UCL jambo ambalo hata wakati anatua Slot tayari FSG spinners walishaanza kulisema. Tooo bad for FSG msimu huu Kipara na wengine wamekua average mpaka sasa na too good wachezaji Liverpool wamepokea na kuelewa anachokitaka Slot na wametekeleza to the letter kiasi sasa Liverpool ipo top UCL na top EPL. Kama hawawezi kuona hii fursa basi tena maumivu tusubiri maana who knows kama Arsenal au Manchester City au Chelsea au Nottingham Forest wanaweza kua winning period wakati tunapata sare hapa na pale na kuipunguza ile gepu, EPL hua haina mwenyewe kuanzia January ni open race na hua ni ushindi tuu hakuna kingine, pata sare at ua own cost.
We need CB as early as now mara pap unasoma wanamtaka Kimichi like for real unless guy not renewing alipo waamue ku cash in now basi hizi ni spinning za FSG again.

YNWA
 
We have got 2 fit CBs now, & Konate is not even full fit.

If we dont act hii january, then itakuwa ni UZEMBE mkubwa sana, & its not like tulikuwa na big summer.

for now looks like Slot will settle na Endo as a makeshift CB.
Labda auzwe Nunez jaruary hii( kitu ambacho hakitakiwi, we still need him) ndio waongeze CB maana kumbuka hapo kuna ishu za mikataba ya kina Salah.

Tutarajie Endo au Gravn at CB, si unakumbuka ya Fabinho
 
 
Liverpool naiona kama Barca tu msimu huu walianza vyema ila watamaliza vibaya.
Kabisa Mkuu kinacho tu favor na wengine nao wamepoteana aisee.
Winning is addictive so does losing or draws hivyo its take one bad game kuharibu yote aisee, or 1 main injury or 1 main mistake or 1 red card etc kutoka kwenye reli... Tazama Manchester City bila Rodri na Kevin au Arsenal bila Saka na Odergard NK

YNWA
 
kina Edwards pia ni tatizo mkuu, mana nao ni walewale.......
kiufupi hii timu kuja kuwa na consistency ya kupata mataji mfululizo tusahau, unless fsg waondoke!

tuna owners wa ajabu mno, sijui hata wanawaza nini vichwani mwao!

ukifuatilia kwa makini utagundua hawawezi kuwapa mikataba hawa magwiji wote watatu, ni lazima mmoja au wawili wataondoka especially salah na trent......... kiufupi tuna wamiliki wanaojali hesabu vitabuni na sio makombe!

bahati mbaya inaonekana mashabiki wenyewe nao ni walewale tu (naongelea wenye mji wao), hawatoi pressure kabisa kwa wamiliki, kazi kupambana na trent
 
Sisi ni mentality yetu tuu ipo hivo, maybe tuki recruit new team labda mambo yatabadilika.

Tunasingizia injuries, lakini last seazon tulishinda mechi nyingi seniour players wakiwa injury, waliporudi tuu mid jan- february tukaanza kupoteana
 
Nadhani ilipofika Liverpool ishamzidi hata uwezo Edwards na FSG wake namna bora ya kudili na ununuzi na mikataba aisee. Tulizoea Liverpool ilee ilikua stepping stone ya wachezaji kuja kusaka platform ya kwenda Barcelona au Real Madrid nk lakin mambo yamegeuka sasa hakuna tena hayo mamboz wachezaji bora wanazeekea Liverpool mfano Vvd, Allison, Salah, Robertson nk na hii inatokana na Liverpool inawapa fursa ya kushindana at highest level..
hatujazoea kabisa kuona wachezaji level ya Salah kung'ang'ania maana huyu Salah au VVD wakiamua timu yoyote wanapokelewa kwa mikono miwili tena kwa na wages za maana mfano PSG, urabuni nk nk
Hii ishu ikiwa hivyo ni changamoto kubwa kwa FSG na especially ukiwa na numbers za kama Salah au VVD au Trent yaani wanakoma.
Mashabiki Anfield i guess bado wana kumbukumbu ya Gillett na Hicks 🤣🤣hivyo wanaona bora FSG ni wahuni

YNWA
 
Sisi ni mentality yetu tuu ipo hivo, maybe tuki recruit new team labda mambo yatabadilika.

Tunasingizia injuries, lakini last seazon tulishinda mechi nyingi seniour players wakiwa injury, waliporudi tuu mid jan- february tukaanza kupoteana
Tulipoteana kwa sababu wenzetu walikua bora zaidi yetu.
Ushindi kuna lady luck, kuna utulivu, kuna mfumo nk yote yakiwa in tandam ndio utaona ushindi.

YNWA
 
🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Manchester City, set to approach Eintracht to sign Omar Marmoush 🔵🇪🇬

Man City are now prepared to open talks for 25 years old versatile attacker who reminds of Julián Álvarez, able to play on the wing and also as centre striker.

Discussions already started on player side, Omar’s understood to be keen on joining Man City now. 👀

Decision up to Eintracht Frankfurt, whether they want to sell him right now or keep Marmoush at the club…

…he completed 18 goals and 12 assists for Eintracht in 24 games in all competitions this season, on fire 📈
 
Kudos to Utd Kudos to Postecoglou.

No any win in 2025 yet. Kale kakitu ka last season kanatuvuzia it is up to Slot and his men to read btn the line.

How and Why is the question to be asked.

But let be realistic kwenye draws zetu EPL

1. Arsenal
2.Newcastle
3.Fulham
4. Man Utd

Hizi ni mechi tumedondosha points kwa individual errors not tactics issues.

Game ya Newcastle (Robbo, Trent, Kelleher, on a third goal)

Game Fulham (2nd goal slightly Trent poor marking)

Game ya Arsenal (Robbo’s poor marking & defending 1st goal)

Game vs utd it was total horrible (Trent, Robbo and slightly Becker) as per me 1st Goal Becker could had done more than that (its assumption though).

Hapa kuna errors hazikuzaa mabao au kudondosha points. Mf.
game vs S’ton Robbo’s Errors, vs Wolves Konate’s error, imetokea same na jana game vs Spurs.

Hizi ni zile nazikumbuka kwa haraka haraka,

Sasa hii trend inatuonesha we have poor poor defensive issues especially RB & LB. Unfortunately its an individual errors, kwenye CB’s tumaini ni Vvd, ambaye sikumbuki error yake iliyosababisha goli, labda ile dribbling yake game vs Brighton/S’ton akapokonywa, ikamkuta Robbo akasababisha PK (s’ton nafikiri).

What is a solution, New legs especially natural DM and LCB this is a solution will secure our tittle race before it was too late.

Utd knew we are going to play with superior team against us what to do? Stay calm, Slower the game as much as possible, kwa sababu hawa jamaa (LFC wanauwezo na intensity game plus wapo Anfield, kwa hili hatuwezi kupishana nao, plus wanaweza kukuadhibu kwa turnovers kama tulipishana nao.

Good thing uwanja uliruhusu plan za utd over LFC kwa sababu ulikuwa na unyevu mwingi sana, (but it is not a reason ya kudraw). Utd walicheza kibingwa sana tofauti na LFC. Utd waijitoa kwa asilimia karibu 100% kila mchezaji tofauti na LFC kuna muda tulikuwa abiria.

Nilikuwa nashangaa LFC fans wakijinadi tutawafunga nyingi utd, hehehe nikajisemea haya tutaona. Iliwahi kutokea utd mbovu kule ile ya majuzi na tulisare nao 0-0 huku LFC ikiwa hot cake EPL & Europe. Ile ya 7-0 tulikuwa weak over utd ndipo tukawafunga.

Kama united wangekuwa on form ingekuwa kidogo rahisi sababu kujiahami na kujiamini kungepungua.


Slot anamiss individual performance not tactics and motivation speech to his team.

Spurs vs LFC kuna namna inabidi iwe controversial kwa makusudi kabisaa,
Yesterday Spurs goal scorer Lucas Bargvall should had shown second yellow cards which lead to a red card for committed bad foul to Tsimi, lakini referee alimeza filimbi.

Anyway Next ni Nuno Espirito Men, hehehe kama mazuri ila inaogopesha, kwanza tutarajie Defensive game from them especially wakitangulia goli la mapema, 2ndly ni kuomba our defensive warriors waamke timamu mana huko ndipo tunadondosha points kwa makosa binafsi

Ange, jana alibadilika defensively waka pin njia za pembeni kuweka watu wengi na 9 players wakawa behind the ball, Mid block and low block ikachezwa na bwana Ange Postecoglou. Walicheza kwa utulivu mno, high pressing, highline ikapunguzwa, BOOM ikawalipa hivi ndivyo kocha unapaswa ku react haraka.

Slot game ya utd alipaswa ku react haraka kumtoa Trent ilipokuwa 2-1, again yesterday Jones wasn’t on his day, Sub iliyopaswa kufanywa ni kuingia kwa Elliot acheze kwa kutokea pembeni then Salah acheze kama 10. Ila anakuwa pembeni kidogo.

Trent defensive issue amesha rudi alipokuwa last season but… but… attacking wise jamaa fundi aisee, alipoingia kidogo tulianza kuwafungua Spurs kupitia pembeni with his quality Passes. Ingekuwa rahisi kama Endo angeenda RB Trent acheze pivot na Gravern, kwa sababu Spurs walikubali ninyi njooni tutazuia na kushambulia kwa counter

Bradley ana balance nzuri sana, but lack quality kwenye passes compare to those of Trent.

Konate & Jota need to rest look not sharp enough.

Becker mr confidence he was so so close to cost us very early. Brazilian players na kujiamini popote ni asili yao , aliwahi kusema hivyo on his early days at LFC, watu wamzoee ndio mpira wake ulivyo.

Darwin Nunez, Wirzzzyyy Jamaa kidogo kidogo afunge Solo Goal, i Love this man, he won’t go throughout the match unnoticed, Solo goal unfortunately Kinsky denied him.


More than £300k p/w i will stand with LFC over Trent.


Here we go, to find our first victory in 2025’

Yesterday’s match will be our wake up call. It’s not over until it is mathematically secured.

Wish you prosperous 2025’

Know You Can…

Ynwa’
 
Hili timu naona viongozi na mashabiki kama kichwani hazimo hivi siwezi kushangaa mkikosa ubingwa msimu huu nyie kuku
 
Kabla game ya utd nilisema if i’m Slot i will play Endo as CB” why ?? Anakupa option nzuri sana:-

Kwanza utapata good build up from back kwa sababu he is a natural DM, ni rahisi kucheza good passes, then atatumika as Inverted, another quality hiyo na option utaipata.

Jana Endo as CB goodness it was joyful to watch aise, mpira mkubwa option za kupiga pasi na pasi zenyewe ni za maana sana, ilirahisisha kazi kwa Gravern na Macca. Still i will chose Vvd and Endo vs NF as our CB’s kama Konate hataonesha utimamu wa mwili na akili. Kumtumia Gravern as progressive and transistor kama imeanza kuleta ugumu, Slot needs to figure this issue before iwe ngumu zaidi.

This is why im still think DM is highly demanded, regardless mwanzo nilisema LCB over DM but good DM can help us over LCB currently kama Bradley and Robbo watakuwa full fit kusaidiana na Trent & Robbo endapo watakuwa off guard. Ederson or Zubimendi will do that. Why not LCB and chosen DM ?? Kwa sababu sioni ni jinsi gani atanunuliwa LCB while kuna Tsimi na Robbo, means mmoja lazima aondoke, kumuondoa mmoja january hii ni kipengele. Getting a DM inaweza kuwa biashara rahisi hivi, na haitaharibu shape ya timu.

Konate na Jota they are not looking sharp.

Yule Nuno ni fundi wa big games aise, tough match will be i cant wait to watch this battle. Nuno will use Yesterday match as mark up but i’m expecting huge bounce back mentally and physically to our boys.

Here we go, men from LFC, warriors, tittle contenders by lucky (not our goals) we are against the odds still, Red armies.

It is not over until it is mathematically secured.

Ynwa’
 
Elon Musk’s father, Errol Musk, has confirmed that his son wants to buy Liverpool FC.

🗣️✅ In an interview with Radio Times, Errol Musk was asked whether his son Elon would want to buy the club, “yes or no.” He responded: “He would like to, yes, obviously. Anybody would want to—so would I.”
 

A serious club ilitakiwa kuwa busy kidogo this january, we are so short katika upande wa our CBs department.

Ningekuwa sina shaka sana kama Injury record ya Konate ingekuwa pertect, but haipo hivyo, so mara nyingi tutamuhitaji Gomez kutoa cover, na kuzingatia injury problems alizonazo Gomez pia, kutocheza mara kwa mara kunafanya episodes za his muscle problems kuwa triggered pale anapopata long shots/stretches za game-times.

And, Quansah wa this season, siyo kabisa wa last season, he plays like he needs a loan, confidence yake ipo chini sana, and hatuhitaji room ya mistakes kwenye hii title-race.

So situation ipo very tricky kaka.
 
FSG havent backed Slot at all, and its pity.

But, this season, i have just decided to enjoy the tactical side of Slot's game, ishu za FSG tumekuwa tukiziongelea tangu na tangu.

Huwezi ukawa unaona glaring holes kwenye squad, na bado unakuwa na moyo mzito wa ku-support the cause, tena kwa kocha mpya ambaye anafanya kila awezalo kuendelea kuwa on top of the league.

Kila msimu tutakuwa tuna come-up short, na FSG wana-get away with murder, kila msimu.

Hakuna msimu ambao tuli-collapse na FSG wakawa collectivelly subjected kwa hilo suala, its either ni manager or the players.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…