Rafa MUST GO, kuinusuru Liverpool
Rafa hawezi kulaumiwa kwa wachezaji kushindwa kudefend dk 15 za mwisho. Sijui tufanyeje mwaka huu wachezaji wapate confidence.
Kaka, timu ishakosa mwelekeo ni lazima ubadilishe technical bench, na liverpool inahitaji mtu wmingine haraka sana kuamusha moral ya wachezaji.
kwa sasa mabadiliko ya haraka lazima yafanywe, na kama banitez anabakia hamtapata chance ya kucheza UEFA, na wachezaji itabidi waondoke sababu hamtakuwa na mapato ya kuwalipa mishahara.
Natabiri kuanguka kwa Liverpool na kupanda kwa Man CITY kwenye BIG FOUR endapo hatua kama zilizowahi kuchukuliwa na Chelsea Msimu uliopita Man City juzi juzi.
Sasa Liver msijali hakuna Thread ya Reading Hivi Bani atapona kweli?
Rafa hawezi kulaumiwa kwa wachezaji kushindwa kudefend dk 15 za mwisho. Sijui tufanyeje mwaka huu wachezaji wapate confidence.
Tumia pesa upate pesa. Ni kiasi gani wanachopoteza kwa kushindwa kwenye Champions League? Timua tu halafu mnaauza wachezaji watatu aina ya Lucas hata kama ni kwa 5m kama kuna timu itakayomtaka. Nimeshasema kwa mwendo huu Gerro hana sababu ya kubaki.Nlisema a few months ago... Tatizo ni the whole liverpool system hasa baada ya commotions za wamarekani, rafa na wachezaji!!!
Kuondoka Rafa kunaambatana na 15M quids na tumeshakosa champions league ni mbaya itakuja toal loss ya zaidi ya 50M wakati tumefuli
Let the ship sink slowly as there will be rescuer from a distance who will change whole system... it usually takes time
Give me a break. Kocha anayefanya usajili wa ovyo ovyo kwa nini asilaumiwe? and don't give me the crap kuwa hajapewa pesa. Mkongwe Wenger hana pesa lakini anasajili watu wanaoeleweka. Sasa huyu anamchukua Aquilani kwa bei mbaya wakati majeruhi. aliambiwa na nani kuwa Liverpool ni wodi ya wagonjwa? Hana mpya period. Owen, Crouch, alonso, Keane wote hao wazuri badala yake analeta mzoga Lucas.
Tumia pesa upate pesa. Ni kiasi gani wanachopoteza kwa kushindwa kwenye Champions League? Timua tu halafu mnaauza wachezaji watatu aina ya Lucas hata kama ni kwa 5m kama kuna timu itakayomtaka. Nimeshasema kwa mwendo huu Gerro hana sababu ya kubaki.
Nlisema a few months ago... Tatizo ni the whole liverpool system hasa baada ya commotions za wamarekani, rafa na wachezaji!!!
Kuondoka Rafa kunaambatana na 15M quids na tumeshakosa champions league ni mbaya itakuja toal loss ya zaidi ya 50M wakati tumefuli
Let the ship sink slowly as there will be rescuer from a distance who will change whole system... it usually takes time
transfer market bado iko open kwahio washabiki wa liverpool wanaweza kuhamia timu nyingine wanayopenda kabla transfer market ya january ijafungwa lol.mkuu MTM pole sana kwa vile wewe umekunywa maji ya bendera tutakusajili arsenal onloan umalizie ligi tu mpaka timu yako itakapo jipanga upya summer ha ha ha.
Hana maana yoyote yule nae... mtu una wachezaji 40 halafu unasingizia hao wawili tu, si angepanga list ya wachzaji wawili yaishe...rafa kajitetea kufungwa kwa reading imetokana na majeruhi ya gerrard na torres lol.
Benitez also cited injuries to key players as a defence of their latest defeat, with key duo Fernando Torres and Steven Gerrard both being substituted by half-time and the club are awaiting the extent of their injuries.
"Both players will have a scan tomorrow (Thursday) and we have to wait for the doctor," he told the club's official website.
"Not only do we have injuries now to Torres and Gerrard again, but Yossi Benayoun has a chest injury too," he confirmed.
"Gerrard has a problem with his hamstring and Torres twisted his knee.
"Yossi Benayoun also has some problems with his ribs so again we will have to wait."
mie nilisema mwanzo hio pound mil 20 wanasema hawana kuvunja mkataba wake itakuja kuwa cost zaidi ya hapo.jamaa ni mbahatishaji sana tatizo lake na swala la kwamba hakupata hela ya kutosha ni uongo.hela kapewa lakini kasajili wachezaji hovyo hovyo na wengine hawastahili hata kuvaa jezi ya liverpool tunayoijua sisi.liverpool ikifanya masiala itapoteza heshima yake.Hana maana yoyote yule nae... mtu una wachezaji 40 halafu unasingizia hao wawili tu, si angepanga list ya wachzaji wawili yaishe...
He is doing harm to liverpool than good right now
Hii ni update kutoka Liverpool official website...
Liverpool today revealed the extent of the injuries sustained by Fernando Torres, Steven Gerrard and Yossi Benayoun against Reading last night.
Related Links
A Club spokesman said: "Steven Gerrard and Fernando Torres both underwent scans earlier today after coming off in the FA Cup tie against Reading.
"Steven has a hamstring strain and will be out for a fortnight, while Fernando has torn a cartilage in his right knee. The injury will require surgery and he is expected to be sidelined for six weeks.
"Yossi Benayoun also suffered a fractured rib in the game and will be unavailable for between three and four weeks."
***** tumeumia jamani sasa

Spot-on AW, jamaa amenunua wachezaji karibu 100 kwa kipindi alichokaa Liverpool lakini kama 85% wote wabovu! Kwa nini asinunue wachezaji wachache wazuri kwa bei mbaya kuliko kununua wengi wabovu kwa bei cheap?!mie nilisema mwanzo hio pound mil 20 wanasema hawana kuvunja mkataba wake itakuja kuwa cost zaidi ya hapo.jamaa ni mbahatishaji sana tatizo lake na swala la kwamba hakupata hela ya kutosha ni uongo.hela kapewa lakini kasajili wachezaji hovyo hovyo na wengine hawastahili hata kuvaa jezi ya liverpool tunayoijua sisi.liverpool ikifanya masiala itapoteza heshima yake.