Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu ndio Nunez wa Benfica.... Consistent is key. Hope he can build up from this.

YNWA
Hii game Salah hakupaswa kuicheza dk 90. Game ilimkataa leo lakini kocha kashindwa kuliona hilo na kamwacha kamaliza dk zote.
Dogo Elliot angeingia kuanzia dk za 65 angeilainisha sana game.
Sema tu kuanzia klopp mpaka slot wote wanaogopa kumfanyia sub salah.
 
Mkuu tuna sare za kutosha ujue.

Pambana.

YNWA
ilikuwa leo mpate sare, sisi tushinde tuwe nyuma yenu kwa points 1 tu au nne kama mkishinda game yenu mkononi. Ikitokea mkapiga hiyo tunabaki point 1 tu nyuma yenu halafu sasa ndiyo race ianze.

Ila hamtaki kukamatika aisee. Na sisi ndiyo hivyo kikosi chetu kimekuwa finyu sanaaa
 
Salah magoli yake yana point won kubwa sanaa hivyo akiwa focal point wa timu mbona ni ngumu sana kumtoa kama leo maana Slot anakua anaamini kama hatafunguka atatoa killer pasi wakati sahihi.
Salah ndio star player wa timu. Too bad leo alikua na siku mbaya kazini.

YNWA
 
Its never give up until the last whistle priiiiiiiiiiiiii....
Trust the vibe.
Take t slow.

YNWA
 
Umeona sio rahisi eeeeh.


YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…