Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

on death bed but who knows

i was happy to be your family

ynwa
Your words mean so much to us. We are grateful for the love and memories we've shared as a liverpool family. You've brought joy into our lives, and we cherish every moment we've had together in this forum. Thank you for being a part of our life Baba Swalehe. 🙏🙏🙏
 

Mkuu zingatia haya 👇

1. Kikosi hakipangwi kwa hisani na fulani naye apate kucheza.
Hivyo kila Mtu atapangwa kutokana na anacho offer kwenye Timu.

2. Timu yetu haipo kwenye kipindi cha mpito (Transitional period) yaani hatupo kwenye Phase ya kujenga Timu bali tupo kwenye phase ya kushinda Trophy kupitia Timu ambayo ilishajengwa na Klopp, hivyo hakina kocha anayepaswa kufanya majaribio ya wachezaji kwenye kipindi kama hiki kwamba umpumzishe Key Player ili umjaribu mwengine? Big No yani.
Ukisikia afe punda mzigo ufike ndiyo kipindi kama hiki na position tulionayo! Hapa tulipo ndiyo kipindi ambacho Mchezaji anacheza hata kwa Sindano (Anti-pain) Alimradi tu tufanikiwe.

Hao kina Elliot, Hendo, sijui Chiessa kwa kipindi hiki watuache wasubiri hizo hizo dakika zao 20 mpaka 30 za kipindi cha pili.

HUWEZI BADILISHA TIMU YA USHINDI WAKATI KAMA HUU

Tunahitaji ubingwa
 
Hao wanakuja kama
Back up tu na kuleta rest Kwa wachezaji wengine

We need at least 13 wins to win epl
 
Aliyemleta Chiesa alitakiwa kuwa gerezani muda huu
 
😂🤣😂🤣🤣Huyu ndio Saint Anne ojiii wengine foto kopi.

Slow but sure win the rice.

YNWA
Captain wakati Darwin Nunez anaingia Mashabiki wa Brentford walikuwa Wana chant Andy Carroll huyo anaingia 🤣🤣🤣
Lakini dk ya 90+1 na dk 90+3 walinyamaza kimyaaa.

Hata Ma keyboard fans nao waliishia kumsifia kknafiki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…