Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Tunamuhitaji zaidi OX kipindi hiki
Toa umercenary wako hapa.FSG timu ipo imara hakuna haja ya usajiri utavuruga vyumbani
Hata mechi 5 hajafikisha umesha conclude?Hawezi
Yaani hawezi
Mara mia Nunez anaweza kuwa Salah ila siyo huyo jamaa
😂😂😂Hapa sitii neno anaweza kupona yule akawa New Salah😂
Dogo anavunja record hatari
Bournemouth naona wanaweza kuwapunguza kasi kidogo. Huwa wanakaupepo fulani na timu kubwa.6 point clear at the top with a game in hand, Now its on to Bournemouth NEXT.......Hakuna kucheka na Kima.
6 point clear at the top with a game in hand, Now its on to Bournemouth NEXT.......Hakuna kucheka na Kima.