Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

We need;

A Trent replacement (if nothing changes in the next few weeks)

A new LB

2 CBs (A Gomez replacement, & another rotational CB).

A DM.

3 attacking options (LW, ST and RW)

Minmum 8 signings, ambapo under FSG itakuwa ni impossible.

Attacking option, ilikuwa inatakiwa kuwa least of our problems, but we need to sell Nunez & Jota, we need new options upfront, so a new CF is needed, sell Jota & Nunez and put that money on 2 attackers, and if Diaz leaves, invest the money on a new LW.

Trent will leave for free, Robertson amebakiza mwaka mmoja kwenye mkataba wake, so situation ya upande wa our fullbacks ni tricky, as we wont get a penny kwa Trent (if he leaves), we wont get good money if we decide to sell Robertson in the summer, so we will need to put money up for a new LB & RB, so ili kufanikiwa we will need to shelve idea ya kununua a DM, Grav & Bajcetic should be the options, put that money on the new fullbacks, & recoup kiasi kwa Gomez, and re-invest back kwa new young CB.

Salah will be 33 this june, and apart from Gakpo, our attacking options zinahitaji mabadiliko makubwa sana.
 
you can't blame szobo for anything here
against one of the best keepers in the world why would he try to score while on other side there's a striker who is facing an empty goal
na bora hata huyo Nunez asingeugusa huo mpira basi tujue kuwa he was slow than Aston villa's defender lakin aliugusa na alichokifanya anakijua mwenyewe

tuje kwa nini jota halaumiwi ila nunez analaumiwa...pale Liverpool inawezekana mtu anayeongoza kwa kukosa chances ni Salah lakini kwa nn halaumiwi kwa sababu yeye ndo anafunga sana pia...sasa jota jana amemiss chance lakini alitoa assist na pia ulikuwa unaona juhudi yake kwenye pressing (goal tulilofunga ni pressing yake ,chance aliyokosa ni matokeo ya pressing) na pia alijitengenezea chance ya kufunga ikahit Post
back to Nunez kwa nini tuanamlaumu ukiachana na goal alilokosa kuna penetration pass imepigwa Martinez alikuwa mbali na mpira kuliko nunez ila cha kushangaza et aliugikia mpira kabla ya nunez, nyingine kapewa pass na salah hata kutengeneza nafas ya kufunga infront of two defenders ikamshinda toa pass basi yenye mach nayo katoa fyongo

Nunez has a lot of potential ila kama inatake more than two seasons to unleash your potential then Liverpool is not the best team to be
 

BINGO.

Name me a single attacking MF at the top level, ambaye anatoa Pass eneo alilokuwepo Szobo? Curtis Jones or Elliott hawakupi pass katika eneo lile, sembuse Szobo?? i love Szobo but acha kutetea uzembe, an MF who is worth £60m, option ya ku-pass inatakiwa kuwa ya mwisho katika moment/eneo kama lile, Martinez just made himself available & big (just like any other keeper), but Szobo alifanya availability & body-stretch ya Martnez kuwa ngumu? why option ya kwanza iwe ni ku-pass wakati upo kwenye through close-gap ya goal & GK? acha kutetea uzembe.

Secondly, mimi sijatetea miss ya Nunez, na nimesema alitakiwa ku-do better, ninachoongelea hapa ni biasness & ku-single out players, tukiwa na bad results.

Humlaumu Jota, because ana press na ku-assist? brother, please.

When, Nunez was assisting, pressing, winning the ball, etc last season, while missing big chances, mlikuwa hamyaoni hayo? au mlikuwa hamuoni huo upande wa Nunez? mnaona sahiv kwa Jota?

Msimu uliopita Nunez recorded double digits assists, hamkuona huo upande wa Nunez?

Msimu huu, Nunez assisted our equaliser against Arsenal away, Assited our equaliser against Fulham at Anfield tukiwa 1 man down, etc, ukiachana na his goals against Brentford, etc, in hindsight Nunez has contributed pakubwa msimu huu kama wenzake kulingana na minutes anazopata, BUT swali langu ni kuwa Jota amefanya nini cha ziada msimu huu kuto-warrant ukosoaji & hate towards him? assist kwa Salah jana? please.

Jota missed a decisive chance, chance yake ilikuwa ni mportant kama/zaidi ya Nunez, because tulikuwa at 1-1, before HT, and Villa were getting back to their shape/regain control ya game, tulikuwa na chance ya kwenda at HT with a lead, but he missed that chance, and we found ourselves chasing the game at HT, unawezaje ku-single out miss ya Nunez na kutetea miss ya Jota? wote wametu-cost points

BINGO, umewahi kucheza mpira? if yes, unamlaumu vipi Nunez kwa ile 50/50 through ball ya yeye na Martnez? mpira ulikuwa at full speed, Martnez came out CHARGING with FULL speed, Nunez was at FULL STRETCH, ulitaka afanyaje? round the keeper? how kwa ile.speed? chip the keeper? how kwa ile speed ya mpira? pass the ball kwa Salah ambaye alikuwa anajaribu kufanya runs za kwenye box, ingekuwaje possible kutoa pass? HOW? ingekuwa ni Alisson, ungesema ni BIG SAVE, and its funny because, umesema Szobo decided to pass the ball kwa Nunez kwenye chance becausr he was facing the best GK in the world (nonsense), so kwa Nunez alikuwa anam-face nani? at 50/50? umeangalia tena ile clip? Speed aliyotoka nayo Martnez, mpira ulipokuwepo, na Nunez alipokuwepo, hakuna aliyekuwa na umiliki wa ule mpira, Nunez alikuwa at full stretch, mpira haukuwa katika himaya yake, Martinez came out charging, because alishaona anaweza kuufikia mpira, kusingekuwa na hiyo possibility, asingetoka kufata mpira.

So, Nunez ambaye alikuwa at full stretch, ndiyo anatakiwa kuwa na options? but Szobo aliyekuwa na mpira at his feet, hatakiwi kuwa na options because he was facing the best GK in the world? stop this.
 
Siwaelewi wanaLiva wanaoogopa kupitwa na sisi kama vile jambo hilo linaweza kutokea.
Mnasahau mna bahati nzuri/kubebwa huku sisi tuna bahati mbaya/kuonewa?

Mchezaji wetu akigusa mpira kidogo kabla ya free kick anakula kadi nyekundu au akimkata mpinzani umbali wa mita 80 kutoka lango letu anakula nyekundu hata kama hakustahili.

Mchezaji wenu akijikwaa mwenyewe kwenye box la mpinzani mnapewa penalty. Mchezaji wenu akimvamia mpinzani kijambazi anapewa njano.

Mifano ni mingi ila cha muhimu ni kaeni kwa kutulia. Ubingwa mtaupata tu.
 
Kila Mtu Ashinde Match Zake , Angekuwa Man City Kanipita Point 7 Ningempa Ubingwa Lakini Liverpool Kuchukua Ubingwa Labda COVID Iludi Tena

Same kwa Liverpool, angekuwa Man City anatufukuza kwa points 10 basi ningempa Ubingwa lakini Arsenal hata anifukuze kwa point 1 basi kuchukua ubingwa labda turudi 2004.
 

Kwa Mfumo wa usajili wa Liverpool hizo changes kuzifanya kwa One to two windows haiwezekani.

Watahitaji 4 windows au zaidi
 

Hii kubebwa na kuonewa kwa Liverpool/Arsenal sio kauli za kimpira.
Liverpool ingekuwa ina favour yoyote kutoka kwa Marefa tusingefukuzana mara mbili na Man City kwa point 1 na tukakosa kombe.
Arsenal ingekuwa haipendwi na Marefa asingebeba kombe bila ya kufungwa.
Achana na haya mawazo ya Simba na Yanga Liverpool haijawahi kubebwa wala Arsenal haijawahi kuchukiwa.

Tungekuwa tunabebwa Everton wasingefanikiwa kurudisha goli dakika ya 98.
 
Hiki kichaka cha kuonewa sijui gunners walikitoa wapi na kwa sababu zipi!
Kila timu EPL imewahi kupitia kipindi cha kuonewa au kupendelewa na maamuzi mabovu ya marefarii na sio kitu kinafanyika kwa kudhamiria.
 
Hiki kichaka cha kuonewa sijui gunners walikitoa wapi na kwa sababu zipi!
Kila timu EPL imewahi kupitia kipindi cha kuonewa au kupendelewa na maamuzi mabovu ya marefarii na sio kitu kinafanyika kwa kudhamiria.

Kwa pale Uengereza Timu ambayo ilikuwa na Marefa wazaliwa na Mashabiki kindakindaki wa hiyo Timu ilikuwa ni Manchester United tu kama vile Anthony Taylor (Mzaliwa wa Manchester), Howard Webb n.k.
Lakini hata hivyo Manchester United ilishinda Makombe kwa uwezo wake sio kubebwa na hao.

Hivyo Arsenal ni kutokuwa na uwezo wa kushinda Kombe sio suala la Refa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…