Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

LFC kuna 2 scapegoats now.

Nunez & Trent.
Same old same old Liverpool troop.

When they score ni shangwe, when they are not doing what they are paid to do inakua kipengele haswaa.
🀣 🀣 🀣 Angalau June haipo mbali watazame upya msimu ujao wawe wapi.

YNWA
 
Kwa Mfumo wa usajili wa Liverpool hizo changes kuzifanya kwa One to two windows haiwezekani.

Watahitaji 4 windows au zaidi
Ila tuna wamiliki vilaza sana ujue. Yani Manchester City wamenusa kukosa big 4 haoo wamewekeza karibu usd 200m January 2025. Tazama Liverpool tunanusa Ubingwa huu hapa mahitaji tunayo kabisa ya wazi wazi lakin FSG haoooo wanakula kona tutajijua yaaani we are cursed kwa kweli.

YNWA
 
🀣 Umedukuliwa sio bure. Kwamba VAR inasinzia muda wote.
Haya mambo sio ndugu kila mmoja apambane na mechi zake bila Msaada wa refa au var.

YNWA
 
Midlands Villa is a tough ground... Hivi ndio hapa hapa Klopp aliwai pokea kipigo cha goli 7?
Aston Villa wako vyema sana nyumbani wamecheza mechi 13 bila kupoteza hata moja
 

Attachments

  • Screenshot_20250222-090547.png
    388 KB · Views: 2
Wamiliki wana nafasi yao ila kiukweli hawa wachezaji wetu wengi wameshaprove failure.

Sare ya 3-3 vs Newcastle
2-2 vs Everton
2-2 vs united
2-2 vs villa

Hizo ni sare ambazo tulikua kwenye wining position. Ukizichunguza hapo tatizo sio kina Nunez bali ni upande wa ulinzi huko


Ukiona wachezaji waandamizi wanekosa ubingwa zaidi ya mara mbili kwa point 1, kisha wakakosa tena wakiwa top huku zikibaki mechi 7 tuu ligi kuisha ujue hao hawana mentality tena ya kukupa ubingwa

Mikataba iishe tuu VVd asepe, TAA asepe, Robertson asepe, Allison aondeke abaki keheler, Nunez, Jota hawa waondoke wakubaki labda iwe Salah peke yake, huwezi kubaki na jeshi lile lile linalokufelisha kila siku pale wanapokaribia kupata ubingwa. Ni heri kuanza tuu upya

Gakpo
Macca
Grav
Szobo
Ibou

Hawa ndio wabaki tuwaone tena misimu miwili mitatu ijayo
 
Mimi nashangaa mnaosema last seazon tulikosa ubingwa sababu ya majeruhi wakati tulishinda mechi karibu zote ambazo hao wachezaji waandamizi walikua injury, waliporudi Klopp akawarudisha kikosini ghafla ndio tukaanza kuporomoka
 

Yani tuna wamiliki wapumbavu sana.
Ndiyomana msimu huu kwa njia yoyote ile lazima tushinde EPL ili msimu ujao hata tukimaliza ligi tukiwa kwenye bottom half of the table niwe na amani.
 
Mkibeba kombe je? Bado waondoke au wabaki kulitetea?
 
My prediction tomorrow πŸ‘‡
Liverpool - Draw

Sare dhidi ya Man City sio mbaya hata kidogo ikiwa ni matokeo ya kimchezo na sio uzembe wa Mchezaji wetu kwa makosa binafsi kusababisha tusishinde.
Sikuelewi mkuu. Mimi yule boya nimempiga 5 kwa moja. Kwake nilikuwa nimpige 1-2 au 1-3 sema nilicheza nikiwa pungufu half nzima na extra time aliongezewa zaidi ya muda.

Wewe unashimdwaje kumpiga si chini ya 4-0 huyu?
 
Sikuelewi mkuu. Mimi yule boya nimempiga 5 kwa moja. Kwake nilikuwa nimpige 1-2 au 1-3 sema nilicheza nikiwa pungufu half nzima na extra time aliongezewa zaidi ya muda.

Wewe unashimdwaje kumpiga si chini ya 4-0 huyu?

Mpira haupo hivi Liverpool kamfunga Bournemouth uwanjani kwake lakini wewe kakufunga.

Aliyemfunga Forest 5 mimi nimemfunga kwake lakini Forest kanifunga uwanjani kwangu.

Spurs nimempiga uwanjani kwake lakini yeye kamfunga Manure uwanjani kwake ila Manure nilishindwa kumfunga uwanjani kwangu.

Hivyo kumfunga Man City haimaanishi na sisi tutamfunga
 
Uko sahihi ila unatumia busara nyingi kwenye haya masuala ya kishabiki. Mimi ninachomaanisha ni hao mamacita walaini saaaanaaaa, yaaani wewe jipigie tu kama wengine tunavyojipigia.
 
Uko sahihi ila unatumia busara nyingi kwenye haya masuala ya kishabiki. Mimi ninachomaanisha ni hao mamacita walaini saaaanaaaa, yaaani wewe jipigie tu kama mengine tunavyojipigia.
Man city walaini ila siyo Etihad. Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…