Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mnaoiogopa Arsenal nendeni mkaone mpira anaocheza huko.
Nawaambia as long as mpinzani wetu kwenye hili kombe ni Arsenal basi me nimeshajipa ubingwa.
Hakuna anayeogopa vitoto vya isidingo
 
My prediction tomorrow 👇
Liverpool - Draw

Sare dhidi ya Man City sio mbaya hata kidogo ikiwa ni matokeo ya kimchezo na sio uzembe wa Mchezaji wetu kwa makosa binafsi kusababisha tusishinde.
its depends how Kipara tactics will be today.. Kama akiamua long passes kama vs Newcastle ku bypass middle then itatupa shinda maana defence wise hatupo vizuri.

YNWA
 

Big No,

Liverpool wangesajili huu msimu hizo points 100 wangefika.

Hivyo itatokea tu kuna Mwaka Timu zitawekeza na zitafikisha hizo points 100.

Pia kuwin EPL 4 mfululizo inawezekana kwasababu mnamo mwaka 2000 ungesema PSG inaweza kuwin League 1 mara 7 mfululizo hakuna angeweza kuamini.

Au mwaka 2000 ungesema Man City atashinda EPL 4 mfululizo asingetokea Mtu akaamini
 
its depends how Kipara tactics will be today.. Kama akiamua long passes kama vs Newcastle ku bypass middle then itatupa shinda maana defence wise hatupo vizuri.

YNWA

Kipara hajawahi kucheza na Liverpool akatumia Style yake pendwa huwa anacheza kushambulia na kulinda kwa umakini mkubwa sana.
 
Mitazamo.
 
Chai hii
 
Jioni ya leo huko etihad tunakwenda kushuhudia mechi ya kumfunga msimu game itakayodhalisha magoli mengi...wasi wasi mkubwa mechi ya vila kiungo chetu kilikatika kikaachapa mashimo na gape kubwa vila wakawa wanapita kama mpaka usio na walinzi ila natumaini labda ulikuwa ni uchovu tu wa kupiga mechi mbili ngumu ya everton na wolves ila nauona ushindi kwa liverpool ni asilimia 80% tuendelee kuimbea timu ishinde msimu ujao hata wasiponunua wachezaji tayari ndani ya miaka minne na nusu tumeshabeba kombe mara mbili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…