Tsimikas angekuwa anajua kuzuia zaidi hii namba angekuwa amejihakikishia mazima.Robertson NEEDS replacing.
Seems like alijifunza mengi kwa Matip.
Kijana kuna muda anajitahidi kusukuma gozi mbele kwa kujiamini sana.
Kwenye kuzuia leo yupo sharp pia.
Tsimikas angekuwa anajua kuzuia zaidi hii namba angekuwa amejihakikishia mazima.
Sometimes mtu unatamani Bradley angekuwa anacheza na kushoto ili Robertson apate mapumziko.
Inawezekana anawatumia message ila anaowatumia ni watu wa hovyo kuwahi kutokea. Wao watajua mwenzao ndio mfumo wake alioamua kuja na nao kwenye mechi hii.Slot sending a message for not starting our STs at the Etihad.
FSG need to back him in the summer, we need new STs.
π₯π₯π₯π₯πOndoeni shaka
Kesho tunashinda dhidi ya man city