MartinDavid
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 874
- 144
mkuu leo umeamua kuangalia game??? kweli sisi tunatisha!
Ka techno kangu mkuu,bado nipo Ikwiriri nitakuwa Dar leo jioni
Hii 3-4-3 ni nzuri, tunakuwa tunacheza kwa kuattack zaid, Markovic anacheza kama Left Wing back (ambayo syo namba yake) lakin anapiga mpira mkubwa sana (stats za game zinaonyesha)...ye na coutinho ndo walikuwa wanacourse troubles kwenye defense ya Arsenal..
lakin angekuwa hatar zaid kama angesogezwa mbele katika front 3, na Moreno achukue ile LWB position..pace itaongezeka sana, nadhan Moreno alikuwa exposed zaidi kwasababu ya Lovren, leo tumeona jinsi Sakho alivyokuwa anamCover vizuri Markovic, kiasi cha kupelekea SANCHEZ kupotea kabisa..
Pia Mignolet arud golini, mpaka tutakapo-mpata Keeper mpya..
All in All, 3-4-3 inaonekana ni deadly formation kinachokosekana ni ST tu wa maana tu..kwa hii formation hata MB atakufunga tu..
thanx God tumeachana na ile 4-2-3-1 aiseee!!!
lets pray for the BEST!
BR remains to be the smartest of all blokes at our disposal at this point in time. Hata kama akifukuzwa, nani aje badala yake - AVB? Nope. RB? He's past his best. Klopp? He's currently as depressed as BR due how things have panned out T Dortmund. And the list goes on.
Something tells me LFC destiny lies with BR's longevity @ Anfield. He'll definitely turn the tide around in the course of the season and beyond.
The only thing that needs to improve is FSG. They need to change their mentality and be prepared to pay big....not in transfers only but the bloody freaking payroll itself. Suarez angekunjiwa kama 300K quids sidhani kama angeondoka ukizingatia ukweli kuwa he would be guaranteed the CL football this season. The Grazers wamembakiza the want-away Wayne f...g Rooney on a couple of occasions using the same old trick. Why not FSG?
3-4-3 saafi sana!Inatufanya tutawale kuuchezea.Akija Dan na tupate poarcher mzuri January sina shaka tutacheza CL mwakani
kwahio mtamtoa arsenal pale namba nne au man utd pale namba tatu??? gap la 10pts sio kubwa sana jitahidi mtafika namba nne....hio namba nne mnagombea nyinyi,arsenal,totenham na westham
AVB ni kama BR tu, lakin Klopp na RB hata kama wana msimu mibaya sahv ni makocha wazuri sana, Fall ya Klopp ni reasonable kabisa, team yake kila msimu inaondokewa na star players, na hajawah kupewa £120k za usajili kama BR...
Ukweli ni kwamba BR ni m-bovu katika transfer market..kwasababu yeye ndo ana sauti ya mwisho kabisa katika mambo ya usajili kwenye ile shitty transfer commitee...U can see sahiv anajaribu kumforce OUT mchezaj aliyemsajili mwenyewe (BORINI)..
Kila kocha ni mzuri kama akiwa na right players, sasa kama unafanya blunders kwenye transfer market unategemea nn??..
kumweka Mignolet bench kama kumkomoa, siyo suluhisho kabisa, Wakat kipa namba 2 ndo m-bovu kabisa..
Me nadhan BR akitaka kufanikiwa LFC na aache legacy, ni kuacha kuwa na EGO na Usumbufu usio na msingi..na pili akubali kuwa na defensive Coach na TATU akubali team iwe na Director of football ambaye atadeal na usajili...
Ni usumbufu tu wa BR ndo uliotucost msimu huu, sidhani kama kuna Excuse nyingine..it took him like 16 matches kugundua kuwa 4-2-3-1 haifanyi kazi, hiyo inamaanisha ana Back room mbovu au huwa hatak kupokea ushauri kutoka kwenye back-room yake..
kwahio mtamtoa arsenal pale namba nne au man utd pale namba tatu??? gap la 10pts sio kubwa sana jitahidi mtafika namba nne....hio namba nne mnagombea nyinyi,arsenal,totenham na westham
kwahio mtamtoa arsenal pale namba nne au man utd pale namba tatu??? gap la 10pts sio kubwa sana jitahidi mtafika namba nne....hio namba nne mnagombea nyinyi,arsenal,totenham na westham
Granted. Lakini unapokuwa na world class players in the team, these guys will help to paper over all the cracks in the team. Look at Manure. Hawachezi mpira wowote wa kueleweka, lakini they win games, why? Because of the quality in the squad. Sina uhakika sana na power unazosema BR anazo katika ku-make decision ya usajili. Anaweza akawa aliwahitaji Falcao, Di Maria, D Costa (don't tell me hakufanya attempt yoyote kwa vile najua alifanya) na hela za kuwanunulia alipewa. But what about personal terms? That's the clincher!!
Nimefurahishwa na jinsi ulivyoikandia kamati ya usajili....umeiita "shitty committee" - which I agree.
For me, FSG through Ian Iyre - not the freaking shitty committee - need to always take the lead kwenye negotiations na hawa big stars. They need to be aggressive, which I don't think they have been.
I don't think BR is such an egoistic and arrogant person - remember arrogant people are poor in man-management which BR has impressively excelled in. Look at how he handled the Suarez situation, look at how good he is in developing talent. And don't forget this is the first time he has coached a club of LFC stature.....so there's always a learning curve. I wouldn't cast him to the winds, I'll instead nurture him and allow him time and space to rebuild our team.
Mechi ya emirates mtakalia gogo maana kuifunga arsenal ni kama jehanamu kwenu historia inaonyesha
Mechi ya emirates mtakalia gogo maana kuifunga arsenal ni kama jehanamu kwenu historia inaonyesha
BR ndo The Head of the LFC transfer committee...majina ya wachezaj huwa yanaletwa kwenye committee, then watu wanakubaliana, lakin BR ana Veto, anaweza kumkataa mchezaj yoyote yule..so kama ana power hiyo kwann awakubal wachezaj ambao anahis hawawez kufit kwenye team yake???
BR alimfata Di Maria kabla ya WC, lakin Di maria akachomoa na alikuwa reasonable coz alikuwa akidhani RMA watampa mkataba mwingne, lakin baada ya ishu kwenda fyongo na PSG kushindikana, BR akaipiga chini second attempt ya DI MARIA, alipotaka kuongea na representatives wa LFC..
kuhusu Diego Costa, huwa napenda kusema kila siku, kuwa he never turned down his move to LFC, but ATM did, ni kama sisi tulivyofanya kipind kile kwenye Saga ya Suarez na Arsenal..
Well, hata mimi, nisingetoa 350k kama mshahara kwa mchezaj aina ya Falcao..
Me ni mmoja kati ya watu ambao huwa nawapinga sana FSG, lakin Msimu huu ndugu zetu wale walijikamua sana £120m za usajili si mchezo jaman, ni kwamba tu transfer commitee ndo ilifanya blunders kubwa katika usajili..
na kingine ni kwamba BR, bado ni kocha mwenye jina dogo sana, tofaut na kina Wenger, MP, JM, LVG, Hawez kuatract Big names, na inakuwa worse kama akiwa anagombea wachezaj na kina Wenger ambao majina yao yanawalinda na wana uzoefu na hizi big teams, ndo maana BR anashauriwa kuwa na Director of footbal mwenye hadhi, ili kumsaidia katika kuboost hizi transfer...
Sanchez had to pick Wenger over BR, coz profile ya BR ni ipi?? kuifikisha LFC nafas ya PILI????
Kuhusu PERSONAL TERMS, Kwa sanchez wote tulioffer 140k kama mshahara (Arsenal & LFC)..MK tulimoffer Mshahara mkubwa kuliko dortmund, but he decided to pick KLOPP over BR...
BR, akitaka kuestablish legacy yake EUROPE, akubali kuwa kuna vitu vingine hawez kuvifanya mwenyewe, team inaonekana kabisa ni mbovu katka Defense, team inapoteza mwelekeo kwenye usajili kila siku..akubali kuajili maexpert wa hivyo vitu...
una uhakika gani kuwa utamaliza namba 3???
What of Southampton?
Man U hachezi CL!Chukua maneno yangu ingawaje kama yanachekesha