MartinDavid
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 874
- 144
Ngoja tuone maana maana huyu liver wa mwaka huu hatabiriki bana yaan kutiana presha tuu
Burnley (A)
Swansea (H)
Leicester City (H)...
9 pts...zote ni winnable!!!!!
Yaani Liverpool imekuwa mbovu hivi?
Yaani Liverpool imekuwa mbovu hivi?
Man U na Arsenal HAWAKUSHINDA hapo,lipi la ajabu kwa Liverpool?
Ajabu leo cjui ndo nini tunacheza dah
kwenye kushambulia sehemu ya pasi mastraika wa liver ni wachoyo
Tumekuwa dhaifu mpaka kwa hawa!