Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hana maana yoyote yule nae... mtu una wachezaji 40 halafu unasingizia hao wawili tu, si angepanga list ya wachzaji wawili yaishe...

He is doing harm to liverpool than good right now
mkuu umeharibu raha yote ya hili jukwaa kwa kubadilisha jina ha ha ha.liverpool ya jf bila jina la mtm wala hainogi kama liverpool bila gerrard tu ha ha ha.
 
hapa wakuu nawapa pole sana sana.
 
Du!..Poleni Liverpool, that was poor against Reading!...
I still believe you will never walk alone De Novo et al.....
 


Malizeni ubishi wenu tunawahitaji kwenye Premier League mrudishe hadhi yenu japo kidogo.
 
Du!..Poleni Liverpool, that was poor against Reading!...
I still believe you will never walk alone De Novo et al.....

Yes they might bounce back, but give them 2 to 3 seasons. kwa sasa nasema SORRY FOR THEM.
 
hivi MTM yupo?


Ha!ha!ha!ha!ha!haaaaa.......DOCEBIT VOS OMNIA..........! Yupo sana......ila kiwanja hiki kiko bondeni sana, kaamua kubadili jezi ziendane kidogo na hali ya hewa hapa......kwi!kwikwi!kwi!

Fungus boy aka mzee wa bwawa la maini.....pole sana hizi ni just ups & downs kny gemu mzee.......!
 

NL nilikuwa jimboni kwako week enda simu yako ilikuwa not reachable try again later! Kama huamini jaribu kujibeep ikiita nipe jibu
 
Japokuwa tunacheza mpira mbovu, hadi dk ya 71, Liverpool 1- Stoke 0.
 
Japokuwa tunacheza mpira mbovu, hadi dk ya 71, Liverpool 1- Stroke 0.
Mkuu inaitwa Stoke City πŸ™‚

Umekosea "kidogo" ukaandika STROKE hahahaha!

Naanza kuhisi mtarudishiwa goli hilo na iwe droo πŸ™‚
 
Maxi Rodriguez ameingia mechi yake ya kwanza japokuwa jamaa wanashambulia kama nyuki....
 
Mkuu inaitwa Stoke City πŸ™‚

Umekosea "kidogo" ukaandika STROKE hahahaha!

Naanza kuhisi mtarudishiwa goli hilo na iwe droo πŸ™‚

Ilikuwa typo hiyo mzee, si unajua liva kwikwi kuanzia kocha hadi washabiki, hizi dk 5 za mwisho itabidi tusurvive
 
Duh jamaa wamesawazisha dk ya 89, kweli mwaka huu Rafa si wake
 
NIlikuwa siamini hii lakini jinsi gundu linavyozidi kusogea chumbani imani inaanza kupotea taratibu, ngoma droo

It is amazing huyu Ngog anafanya nini uwanjani wakati Babel hayupo hata kwenye bench?? Sasa walimnunua pauni mil 11.5 ili iweje?? Nashindwa kumuelewa Benitez.
 
Mwaka huu KOP wasahau top 4. Man City ndio wanapaa hivyo na Aston Villa.
 
Mwaka huu KOP wasahau top 4. Man City ndio wanapaa hivyo na Aston Villa.
kaka top four c yetu, kwanza man city namuona ni mkali sasahivi kuliko hata Manure. Ukizingatia sisi hatuna uwezo kama wa manure, city wata take one of top four position.its so sad, that its Liverpool which is replaced among the top four.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…