Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

ni bora kurudisha Ibe na kuacha Suso amalize muda wake Liverpool kuliko kuanza kuleta other players, IMO Ibe na Suso can do a better job... they know the team, coach tactics and the dressing room

BR anahangaika sana aisee
 
Bado sijamuelewa wala kumsamehe BR kwa kumuuza Agger! Ni decision ya kipuuzi EPL nzima.

BR ana ego, na Agger ana ego yake. BR aliona anakua undermined/challenged... na kwa sasa it seems agger was right!! maana tunaona defense inavyofuka
 
ni bora kurudisha Ibe na kuacha Suso amalize muda wake Liverpool kuliko kuanza kuleta other players, IMO Ibe na Suso can do a better job... they know the team, coach tactics and the dressing room

BR anahangaika sana aisee

Suso katoka majeruh, lakin safar hii nadhan atacheza sana, na kesho nadhan anaweza akapata some minutes...J2 hii kikosi knaweza kikabadilika sana...wachezaj wengi watakuwa wamechoka!
 
BR ana ego, na Agger ana ego yake. BR aliona anakua undermined/challenged... na kwa sasa it seems agger was right!! maana tunaona defense inavyofuka

kwenye game ya Burnley, Emre Can kamuonesha BR ni jinsi gan alivyo fraud...huwez ukamweka bench CAN kwenye kikosi kibovu kama hiki cha sasa!!

kacheza kwenye CB, lakin alicheza vizuri kuliko Lovren ambae BR alwayz anam-beba ili kuprove kuwa hakukosea kumsajili..

Lovren kapanic sana sahv, medias zinamwandana kwa form yake mbovu, hawez kucheza vizuri tena kwa kipind hiki..lazma akae sawa kisaikolojia kwanza!!!
 
True. Can anaonekana ni kiraka cha ukwee. BR sasa anatakiwa ampe HM spot iwe miliki yake ya kudumu.
 
The Rumoured Team Vs Swansea!

Mignolet
Emre can
Skrtel
Sakho
Manquillo
Henderson
Lucas
Moreno
Lallana
Coutinho
Sterling...
 
LOL.. Di Marzio saying Juventus are in talks with Bayern Munich kuhusu loan move with an option to buy ya Xheridan Shaqir..
 
Top four inazidi kuota mbawa, with Arses collecting points ki vyovyote vile
 
Top four inazidi kuota mbawa, with Arses collecting points ki vyovyote vile

We need to win our own games,tusiangalie mwingine kafanya nn!!Arsenal katuach points chache sana na ndiyo kwanza ligi ipo round ya pili sasa!!

Tuliwahi kuwa behind mwaka jana points 12 na Chelsea zote tukazifuta!Points 11 zaidi za Man U kwetu si nyingi ktk EPL hasa kama mnashinda games zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…