Tuendelee kujipa mda kwanza tuone game mbili zijazo itakuaje,ila ukweli kidogo tangu game ya man u japo tulifungwa ila tuloshaanza kubadilika.."Gari la Liverpool limewaka",njiani sasa tukimkuta yyt yule anapigwa!
Majogoo yumeanza kazi,niliiona jinsi tulivyocheza na Burnsley week jana nikajua sasa tupo OK
Full Time
Majogoo 4-Swansea 1
Raheem Sterling anamzunguka keeper Fabiansk lkn anapiga kwenye nyavu ndogo,dakika ya 63 tunakosa bao