MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Rodgers ni boya sana. Bado ana mentality ya kufundisha timu inayoridhika kuwa mid-table team after those 38 games.
Vipi kumpa masharti magumu Captain Fantastic wakati hana bado worthy replacements?
SG angekubali kutokuwa "automatic starter" kama team ingekuwa imesheheni wachezaj wa kariba yake yeye na wenye viwango vya kuifikisha team popote pale...
Asa mtu una LUCAS, Allen na Hendo (Average players) afu unataka umzime SG, kwa wachezaj gan pale LFC???
LFC fans, hawatak kuuona huu ukweli, Tangu BR kaja LFC kaz kubwa anayoifanya ni kuziondoa zile signings za Benitez ambazo ndo zumekuwepo LFC for ages (Alianza na kina Aquilan, reina, Agger, Pacheco etc, now is tryna to get rid of suso, na kipind cha usajili cha august 2013 si tuliona jinsi alivyokuwa anahangaika kumuuza skritel, na mwaka jana alvyokuwa anamforce Lucas out, lakin hao kina MS na Leica ndo wamekuwa wachezaj wake muhimu zaid kwenye team kwa sasa, kina Allen wamefeli kuimpress..
ukiangalia kwa kina hakukuwa na haja ya Kuwaondoa kina Reina na kina Agger kwa madudu haya tunayoyaona sahiv kwenye team upande wa defense..
Aquilan alikuwaga ni very special player, majeruh tu yalikuwa yanamsumbua kipind kile..Si ajabu angem-bakiza angekuja kumsaidia sana, kuliko hawa kina Allen..
Katolewa Reina - replacement ikawa Mignolet (deadwood)
Katolewa Agger - Replacement ikawa Lovren (DEAD-WOOD)
Katolewa Suarez - Replacement ikawa MB and Lambert (Two MASSIVE dead-wood, atleast namsubiria MB kwenye diamond formation)
Walitolewa kina Aquilan - replacement ikawa Allen..
Sahiv anatoka SG - replacement unaweza ukaletewa Fabian Delph..
Hiyo ndo LFC..