Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Without MESSI Barcelona huwa inakuwa AVERAGE sana...japokuwa xavi na iniesta wanakuwepo uwanjani...

MESSI amekuwa anaibeba Barca mgongoni for Ages.

Hapa tunazungumzia POWER ya mchezaji mmoja kwenye Team.
 

Average players kama Carrick hawawezi kupewa hype yoyote kwenye medias...
 
Last edited by a moderator:
Lini alikiri???

Doh! Wewe jamaa unafurahisha sana! Kwenye post namba 15303, umeweka link ya Zidane juu ya SG. Na kwenye hiyo link ndimo SG kakiri hilo.

Ina maana hukusoma hiyo link uliyoiweka?!!?
 
United fans aren't obsessed with SG...it's Loserfools' fans who are obsessed with United..you called United a mid-table team last year, while Loserfools have been a mid-table team for how many seasons?

I'd rather be obsessed with Man city or Chelsea mate...
 
Alonso aliondoka peke yake pale LFC??? Ni wachezaj wangap waliondoka mwaka 2009/2010??

Mimi sijui wengine waliondoka.

Pia naona hunielewi ninachokisema hapa. Ni kuwa soka ni mchezo wa ushirikiano katika timu; kuna wachezaji ambao uwepo wao ufanya wachezaji wengine kuwa bora sana. Alonso ni mmoja wa wachezaji wa aina hiyo; aliyemfanya SG kuwa bora.
 
Doh! Wewe jamaa unafurahisha sana! Kwenye post namba 15303, umeweka link ya Zidane juu ya SG. Na kwenye hiyo link ndimo SG kakiri hilo.

Ina maana hukusoma hiyo link uliyoiweka?!!?

Hahahahahah!!!

So you believed when Ozil said he's a huge fan of Arsenal???
 

SG ndo mchezaji aliyemfanya ALONSO kuwa mchezaji BORA.
 

Usikurupuke sasa..

Uliza kwanza waliondoka wachezaji wangap 2009/2010..

Siyo unaleta hoja ya Alonso wakat hujui kwa kina kipi kiliisibu LFC mwaka 2009/2010..
 
Without MESSI Barcelona huwa inakuwa AVERAGE sana...japokuwa xavi na iniesta wanakuwepo uwanjani...

MESSI amekuwa anaibeba Barca mgongoni for Ages.

Hapa tunazungumzia POWER ya mchezaji mmoja kwenye Team.

Unaposema power ya mchezaji mmoja: ngoja nikuulize, simu bila energy itawaka? Ndivyo ilivyo kwa Messi, bila 'energy - kina Xabi na Iniesta' hawezi kutamba!

Ubora wake unatokana na uwezo wa kina Xabi na Iniesta kumchezesha.

Inakuwa average kama ilivyo Liverpool baada ya kina Alonso kuondoka?!

Bado unashindwa kuelewa point yangu: soka ni mchezo wa teamwork. Bila teamwork hakuna soka; ila kuna wachezaji wanaoweza kulink up vizuri na kutumia talents za wengine kuwa bora sana, Messi ni mmoja wao.
 
Hahahahahah!!!

So you believed when Ozil said he's a huge fan of Arsenal???

So did you believe when Kun Aguero said he is a Liverpool fan?

Dah! Ngoja, nikuvumilie kidogo tena...ila inavyoelekea, naweza nami kujitoa kwenye mjadala.
 
La galaxy ndio wameshasibitisha kumsajiri G8.......roho inaniuma lakini ndio hivyo jamani.....
 

Large party of your story is absolute NOT TRUE

1.Team bora inapimwa kwa team work na ndani humo humo kuna key players ambao pamoja na team hiyo kuwa bora bila wao team hiyo itayumba!Suarez,Dan na SG Liverpool league iliyopita, wakati Yaya Toure,Kompany na Aguero City,na hata Matic,Fabrigas,Hazard,Costa kwa Chelsea au Man U ya kale ya Yorke,Cole na Jemedari Roy Keane

2.Kwanza SG alitamba sababu ya kusaidiwa sijui na akina Alonso SIYO KWELI:2001 hakuwepo Alonso na Maccalister ALIANZIA BENCH,2006 FA na WHU Alonso alitoka dakika ya 67 tukiwa nyuma 3-2!Huyu alikuwa na uwezo wake mwenyewe na mechi nyingi tu za fainali kathibitisha haya

3.Kumpima mchezaji kwa sababu ana titles nyingi za EPL nayo siyo sawa!Luke Chadwick ana EPL titles ina maana ana uwezo sana kuliko akina Benteke?Hamman akaingia ndiyo tukaanza kucheza vyema?Really?Kwa nn basi SG ndiye akawa man of the match?Walimpendelea?

4.Mchezaji pia anapimwa kwa record zake binafsi jambo amalo SG kwa Uingereza anashindwa na majemedari wachache mno kama akina King Giggs sio hawa mediocre players mnao jaribu kufananisha na SG! uMECHEZA EPL zaidi ya miaka 10 lkn hujawahi kuwa hta mchezaji bora wa EPL sasa umfananishe na mtu aliyekuwepo hata 3 bora ya Ballon?

SG the Great
 

MESSi is Barcelona..

Mfano mdogo tu ni kwamba Iniesta na xavi wanaweza kuondoka na mapengo yao yakazibwa kirahisi na tusione tofauti sana!

Lakini MESSI akiondoka Barca, team lazima I-struggle sana, utamreplace MESSI na nan??

Kwenye soccer kuna team work, but kuna baadhi ya Clubs zinakuwa na mchezaj ambaye TEAM inamwangalia yeye kwa kila kitu..

Team Work ipo, lakin tunapozungumzia kizazi cha Barca hii Na mafanikio yake, Huwa tunamzungumzia MESSI zaid (his goals, passion, skills, his special talent) ndo vimeiweka barca ilipo sasa!

Team haibebwi na MTU mmoja, lakin tunaangalia MCHANGO na HESHIMA ambao mchezaji mmoja ameleta kwa club..Na KUTOKUWEPO kwake kunaiua vipi TEAM..
 
Usikurupuke sasa..

Uliza kwanza waliondoka wachezaji wangap 2009/2010..

Siyo unaleta hoja ya Alonso wakat hujui kwa kina kipi kiliisibu LFC mwaka 2009/2010..

Nisamehe kwa kukurupa...

Nielimishe mkuu wangu kilichoisibu LFC mwaka 2009/10..
 
Doh! Wewe mkali! Sasa mbona SG ameshindwa kumfanya Henderson kuwa bora?!?

So Henderson wa mwaka 2011 ni sawa na huyu wa sasa??

Kama shabiki wa soccer, hujaona improvements zozote kwa Hendo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…