nyangelekene
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 481
- 344
hv flano ameshalejea toka kwa majeruhi?nimemmiss sn hyu dogo
Ibe mzuri sana, anaweza kumpita hata Raheem akikaza kidogo tu
Hii deal ya SUSO tutakuja kuijutia sana, kama man utd kwa Pogba...
Hii deal ya SUSO tutakuja kuijutia sana, kama man utd kwa Pogba...
Usiogope kijana,Teixeira is there...he's a fantastic footballer,kwangu mimi Coutinho anasubiri kwa Texeira,yule dogo anajua sana...we have lost nothing kwa suso though! Angecheza namba ya nani pale jamani? Make alipewa mkataba akaugomea make alitaka uwekwe kipengele cha regular playing time,afu unajua BR anapenda kuwamanage watoto wadogo,hv unadhani BR kamuachia dogo asepe hivi hvi kweli?
Teixeira wont make it kabisa pale LFC, same kwa Luis Alberto...
Hii deal ya SUSO tutakuja kuijutia sana, kama man utd kwa Pogba...