mkuu ngap ngap
It was sakho's show again....fantastic display from the strong CB,hivi kulikuwa na umuhimu gan wa kupoteza £20m kumnunua lovren wakati Una agger na sakho?....anyway...hopeful MosDef unanielewa sasa kwanini Mimi tangu last year Ni pro-Sakho....
Mkuu, hii nivery true... Sakho was right to protest aiseeNimeelewa sasa why Sakho alikataa kwenda uwanjani siku anawekwa ubaoni la Lovren
ata mm ningechukia kuona ninayemzidi mno uwezo kucheza badala yangu!Loren na Baloteli is one of he worst signings Liverpool to have in its modern soccer history
Haaa....kumbe nawe unafikaga huku chumbani kwetu?Haya manini? Mnaandikaga nini ?
Mkuu, hii nivery true... Sakho was right to protest aisee
Lovren should be banned hata kuvaa jezi ya kops
Haaa....kumbe nawe unafikaga huku chumbani kwetu?
Action and reaction are equal but opposite...
Mkuu take it easy! New comers huwa sio wote wataadapt na kucheza vizuri, ni changamoto katika soka sio kwetu tu hata kwenye timu zingine ipo. Inahesabiwa kama sehemu ya hasara katika football.
Suso despite the fact that he had few games he showed classy the game vs Man utd in the dying minutes when he came as substitute though we lost 2-1 but he showed what he had in his locker.
Keeper Mignolet sasa yupo OK sana,haina aja ya kuwa replaced kaisha jifunza