Duh! Hey chap, Loserfools lost 3 nil to Man United this season.
Mh! Ngoja tuone utakavyomchambua pale atakapoboronga tena!
Jamani kuna habari mbaya leo!Lucas HATAKI kubaki Liverpool anadai kocha BR alikuwa anamdharau sana kipindi kile HACHEZI msimu wa mwaka jana!
BR hajui kabisa ku deal na wachezaji,hata SG kuondoka kwake ni sababu yake yy!Kocha sijui kazungukwa na washauri gani huyu!Ni kocha wa ajabu sana
Siku yangu imeharibika sana maana Lucas ndiyo kaishika team hii hasa akiondoka SG ndiyo uwepo wake utahitajika zaidi
Lucas Leiva wants to leave Liverpool amid Inter Milan links - sources - ESPN FC
To each other
Naam..nilikuwa sijatambua, kumbe Liverpool kuna maua!..asanteee
Lambert ..............siyo mbaya sana.... did good
asante zaidi
Wapinzani lazima wanaona donge...
Gari limewaka hili,sasa ni kama msimu uliopita hatukamatiki
WHU weeks 2 zijazo wanakuja Anfield hatuwaachi
wajinyonge
Keeper Mignolet sasa yupo OK sana,haina aja ya kuwa replaced kaisha jifunza
...na udenda...:msela:
Mkuu, hii nivery true... Sakho was right to protest aisee
Lovren should be banned hata kuvaa jezi ya kops
Alaah...sasa nimekusoma vizuri, kumbe nawe ni Kop mwenzetu! Safi sanaa...Napita ila sielewi
Mnifiche basiAlaah...sasa nimekusoma vizuri, kumbe nawe ni Kop mwenzetu! Safi sanaa...
Mnifiche basi
Shaka ondoa, hapa ndo juu ya kiringe chenyewe!Mnifiche basi
Look
Karibu sana hapa,jisikie huru kabisa kutoa mawazo au maoni kuhusu The Greatest Soccer Club in mankind history-Liverpool.
Hapa kwetu kuna demokrasia ya freedom of writting.Hapa hatuminyi haki za wengine kama kule Darajani ambapo Ntuzu au agosti 8 au Manumbu au kalon lzm UWAOMBE ruhusa ili uandike chochote hata kama ni positive kuhusu club yenu!
Hapa sio kama kwenye jamvi la Man U ambapo kuandika lzm uwe approved na RRONDO au Nzi! Hapa kuwa huru sio kama lile jamvi la akina Mentor au Wacha 1 ambao huko kwenye jamvi lao ni kama Miungu Watu hawapingwi kwa lolote lile
Karibu sana dada na anza kutiririka!Ukipata nafasi kufika Ikwiriri nitafute japo nikufungie samaki vibua ukafanye nyumbani kitoweo