Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Week ijayo Merseyside Derby lkn karudi Dan sina wasi wasi kabisa
 
Nimekuwa impressed na sterling Sana Leo...vile ndivyo anatakiwa kucheza Kila siku..

he is my MOTM for today though
 
Uyu dogo IBE ni shida ana nguvu ana speed dah....yani uyu akipewa game tano mfululizo Markovic atakaa mkeka
 
BR sasa ana kazi ya kuwapanga Markovic, Lallana, Coutinho, Sterling, Ibe, Danny, SG...

Mkuu,huyu mtoto Ibe inabidi BR ampe game time ya kutosha sasa. Nina uhakika atakuja kuwa kama Sterling au zaidi...
 
Mkuu umemuona Lucas?
 
Lucas a.k.a THE PILLAR, with him Team inarudi kwenye form yake, hii kweli ni nguzo ya kuisimamisha LFC
 
Mkuu,huyu mtoto Ibe inabidi BR ampe game time ya kutosha sasa. Nina uhakika atakuja kuwa kama Sterling au zaidi...

Let see, I hope BR will work with him kwenye ishu ya kuachia mpira.

Kuna mahali nilisoma the head coach of Derby making a joke..."There was a time we thought to give ibe his own ball, and another to the rest..."
 
Nimemuona.....kijana sasa amesimama pale kwenye anchor. Saafi sana..
Lovren na MB ndiyo ilikuwa tatizo Liverpool!
Nina uhakika 100% nampiga Everton kwake
Beki ya Liverpool ndiyo bora EPL kwa sasa na hii ni fact kutokana na clean sheet za kutosha ktk recent games
 
Nimemuona.....kijana sasa amesimama pale kwenye anchor. Saafi sana..

Very calm and leading by example...recently wakati BR anaongelea mkataba wa GJ alizungumzia umuhimu wa timu kuwa na senior players and mentioned Lucas to be one of them
 
Lovren na MB ndiyo ilikuwa tatizo Liverpool!
Nina uhakika 100% nampiga Everton kwake
Beki ya Liverpool ndiyo bora EPL kwa sasa na hii ni fact kutokana na clean sheet za kutosha ktk recent games

Mkuu naona na MIG is getting confidence as time goes. He is now coming out with strong punches
 
Wapenzi wa soka bana, yaani wanaweza kukuchukia wiki hii wiki ijayo wakakupenda, nikikumbuka ni juzi tu hapa huyu kocha alivyopigwa madongo kama ingekuwa Bongo kibarua kingeota majani, leo hii ndio shujaa teh teh!
 
Ni kwanini coach alikuwa akipigwa madongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…