Mkuu haujanusa bado first starting boys wetu bado mkuu au
Huyu mtoto Harry Kane namu admire sana movement zake ktk boksi yani kipindi tunamuwinda Origi I wish tungebeba uyu dogo, yuko vizuri kote Ki physic, na ule ujanja wa kuwazidi mabeki.
Msiba kwa Arsenal.....
Kane 2-0 Arsenal
Asante mkuu, nimejisahau kabisa hapo
Usijali hapo ni nyie wenyewe kukaza tu kupunguza gap
Nasisi kazi tunayo maaana hii derby huwa sio kitoto aiseee dah
Na kazi mnayo maana duh hatari sana hiyo sasa mkifungwa ndio hatari zaidi ktk progres yenu
Kabisa!! leo ni vita aisee
Ok, me nawatakia kila la heri