Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Siyo matokeo mabaya!Liverpool walitengeneza nafasi 3 na Everton nafasi 0

Aisee dah kama tunataka top4 ratiba ya sasa kila mechi inatuhitaji tuchukue pnt 3, pale juu now kumebana mno, plus hii second round hard wale wadhaifu ukomaa kuogopa kushuka

Our next games

Spurs
Soton
City
 
Huyu IBE ni mzuri kinoma.

Ame kuwa MotM leo.....

 
Man of the match Mie naona ni Emre Can watu kama kina Hendo wanatakiwa wamtizame mwenzao anacheza kiundafu Undafu sio Soft, Coutinho alivyotolewa ndio imejulisha kama itaishia 0-0 hatukuwapeleka inavyotakiwa Allen ndio sitaki hata kumuongelea Sijui why bado anapangwa hata Bench??? Jordon Ibe kanifurahisha ila Emre Can kafanya Lukaku aonekane Fidodido! Martinez na Basic same Boss Katikati sababu ya watu Soft kama Hendo na Allen.
 
*marcathy sio Martinez nimekosea katikati Coutinho kutoka mambo yameharibika Hendo huwa hazioni zile Pasi za kustukiza watu Huyo Allen kip enzi Cha Rogers ni Zero kwenye mengi tu. Leo nimependa tu Ibe na Skertel na Emre Can Game wamefanya easy ila Sakho ananifurahisha anafanya vizuri ila anapenda kujipa Tabu yeye mwenyewe yeye anatakiwa kuosha mpira Mbele anataka kujifanya Zidane hehehehe hapo ndipo Sakho anafanya heart beat ila akiamuwa anaondoa mpira na mtu, Bora 0-0 Kuliko tungetunguliwa DK za mwisho ila Mie bado Brendan Rogers Out.
 
Kwa wale critics wa BR someni hapa chini...


 
Game 100 kapata points 184 bila kitu nacho mshukuru na kumsifu ni kuitengeneza timu Kuwa angalau timu inacheza vizuri na vijana wengi wanatia matumaini ila pia tukumbuke Liverpoolfc sio Academy sie tunataka mafanikio ya makombe Rafael Benitez sababu anapenda kushinda Makombe Game zake 100 kwa points 186 tayari alikuwa na makombe.
 
Huyu dogo amekua kikwazo cha ushindi, amekua mmbinafsi na mchoyo, anaona yeye pekee ndio mwenye haki ya kufunga
Unamawazo kama yangu kashajiona anategemewa yeye ndio matatizo ya wachezaji wadogo sikuhizi siku atamuwa kucheza siku anaringa.
 
Nitawaambia kitu why Raheem ananiuzi unakumbuka Luis Suarez alikuwa anakwenda Mbele Speed akienda kwa Speed team inacheza Speed ili kumpa mpira then Suarez alikuwa Anarudi Speed kuzuia mpira na kuchezesha timu ilifanya timu nzima iwe na Speed sasa Raheem anatakiwa afanye Hivyo Mtoto mdogo Una speed tumia kimbiza au kimbia kina Coutinho wakuchezeshe Raheem akikimbia hatizami wapi atoe Pasi na akishindwa anainamisha Kichwa na harudi kutafuta mpira tena na hilo ni makosa ya Brendan Rogers analea makinda zile tabia Ma Manager wengine hawapendi labda uwe Brendan Rogers au Arsene Wenger.
 
Tunaongelea EPL. Soma tena.
Ok ila bado sio kitu cha kumpa sifa Brendan Rogers ukitegemea matumaini ya Mashabiki wa LFC wengi sasa hivi hatutizami hizo static tushachoka angalau nje ya Box ya EPL tuone kitu tuombe mungu hayo mashindano mengine na Huyo Brendan Rogers.
 
kocha katumaliza leo...

karudia u-mboga wake uleule

we needed Gerrard out, and bring pace
 
Rodgers ni mngese sijawahi kuona, hii droo ni yeye na starling ndio wameisababisha

Tutalaumu sana hata ambao wanaifanya LFC walau ionekane inang'ara kwenye EPL kwa sasa. Ili tuwe na consistency kwenye performances zetu, chambua na toa maoni kuhusu ufumbuzi ulioainishwa hapa chini....

 
Hii game ilikua ni yetu kama si uchoyo wa RS na BR kumtoa mpishi wa magoli cou
 

Attachments

  • 1423341894807.jpg
    30.7 KB · Views: 109
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…