Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

BR hichi ni kitanzi chako no matter what you say man....

 
 
Liverpool XI: Mignolet, Can, Lovren, Skrtel, Henderson, Allen, Ibe, Markovic, Coutinho, Lallana, Sterling.
Substitutes: Ward, Johnson, Toure, Moreno, Lambert, Sturridge, Balotelli.

Nimewahi mapema nikacheki hii game ila kwa hii line up inanifanya nikawe mpole hadi game itakapo isha
 
If we win today with this line-up, we are going to finish amongst the top 3. I swear!
 
Sakho hata benchi hayupo,nlipoangalia lineup harakaharaka nikamuona Lovren nilijua CAN amesogezwa mbele,na Allen hayupo,kumbe ni usen** tu,I can't see us winning this game...tukijitahdi sana ni draw

Mi nadhani Rogers anamkosea Lovren, katika mechi ambazo ameingia sub na kukaa upande wa kulia ameperform vizuri ila kushoto itakuwa majanga leo
 
karibu,unashauriwa kukaa kimya uwe unapitia post za wadau hapa kwanza kwa kama wiki mbili hivi,hapo utapata fursa ya kuwasoma wenzio humu na haters pia utawafahamu,ikifikia wakati huo sasa unashauriwa kuanza kuchangia mada,kumquote mtu,nk. YNWA.
Hahaaaaa doooooh
 
Kweli BR ni kichefuchefu...kwa hii squad ya leo tunapigwa nyundo na hawa vijana.
 
Da napatwa na wasiwasi kidogo na kikosi cha leo hasa nyuma
 
Nimewahi mapema nikacheki hii game ila kwa hii line up inanifanya nikawe mpole hadi game itakapo isha

Mkuu nimeshindwa kuelewa kabisa, okay let him do things in his own way, he is trying to bribe us with our team's current form. This is Soton aisee, dah ngoja tuone anachowaza ila binafsi nahisi kama tukipona ni sare.
 
----------mignolet----------
----can----skrtel---lovren----
ibe---allen---henderson---markovic
-------lallana-------coutinho-----
-----------sterling---------
 
Br....ila namatumain tutashinda coz tutacheza kasi na soton ukiwapeleka kasi unawafunga vizur.....liver 3-0 soton
 
Mkuu nimeshindwa kuelewa kabisa, okay let him do things in his own way, he is trying to bribe us with our team's current form. This is Soton aisee, dah ngoja tuone anachowaza ila binafsi nahisi kama tukipona ni sare.

Sijui kasahau kama first game pale Anfield tulitoka kibahati bahati .... kasahau kabisa kwamba tupo St. Mary's ..

Of course sare au kufungwa kunatuhusu ... ushindi sijui labda bahati itudondokee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…