Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nlikua na pressure na hii gem sana hasa baada ya kuona kikos na pia kufuatilia jinsi saints walivowakmbza hao gunners+man u, all in all gud work from all of the players and also thanks to brendan rogers! Cha maana zaid n kuwafunga tu hao walioko juu yetu wote na southampton ndo tayar hvoooooo! Ynwa
 
Game ilikuwa ngumu na mvua ila job welldone japo Mie na Rogers hatuendani nampa heshima kwa kuamuamini Jordon Ibe dogo anacheza vizuri hata Thierry Henry leo kakubali dogo mkali Sema azidi kujifunza.... 2-0 taratibu shot on target 2 bao sio kupiga mpira kama wanaangua maembe manjijua Wazee wa long ball.
 
Ligi hii dah, gap kati ya 7th place na 4th place team ni 4pnts only, na kutoka 7th upto 4th tofauti wanapishana pnt moja moja, yani maana yake uki lose mwenzio aki in anakaa nafasi yako
 
We rode our luck but credit to BR. His tactics a genius masterstroke!

Nadhani alichokifanya BR ni ku-study ni vipi Saints walipoteza mchezo nyumbani kwao vs Manure na ni jinsi gani waliweza ku-recover na kushinda kwenye return leg pale OT.

Simple. Just let the Saints have all the possession they want and capitalise on moments of creativity while you keep 7 men behind the ball. Hii ndiyo tactic aliyoitumia van Gaal kwenye away game ya kwanza Manure vs Saints. BR has executed it to perfection, albeit with some luck (considering those Saints' genuine penalty appeals). Credit to him really.

Hii ndiyo tactic BR anatakiwa aitumie vs ManCity, Chelsea, Arsenal na Manure. Possession football should be applied when playing against those mid-tablers.

As I said earlier, winning against a very good Southampton side with the lineup that BR has sent onto the pitch today, LFC are going to finish the league no lower than 3rd position. This am dead certain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…