Nadhani mmoja apewe nafasi tumepoteza nafasi nzuri
Tuingize Striker mmoja City defence hamna kitu
Taratibu mtani punguza presha sasahivi yangekuwa mawili pole.......
Tumepata chances nyingj lakini tumeshindwa ku capitalize.
Hawana defender hawa!Mangala na Kompany afadhali ya Canavaro wa Yanga
Aingie MB hapo tunawapiga hawa
Asente, ila leo najua ubani wako uko Man shit