Hawa Black burn mbona wanataka kufanya game ngumu hii. Tangu Skrtel atoke huyu Gestede amekuwa aki-win mipira ya juu.
Lovren anatakiwa atulie tu kupanic si solution. We have a offensive team mpaka beki wana shambulia, gape tunazoacha wakati wa kushambulia blackburn wanaweza tumia kwenye counter-attack
Duh...leo hawa madogo wamekaza kwelikweli,Ila to be honest,SKIRTEL na CAN walitakiwa wapumzishwe aisee,wamecheza game nyngi sana mfululizo,sema tu ndo vile hakuna mbadala wao pale benchi.