HAWA MADOGO WAMEKUJA NA GAME PLAN YA MABUTI TU, WATACHOKA NA WATAPIGWA TUDuh...leo hawa madogo wamekaza kwelikweli,Ila to be honest,SKIRTEL na CAN walitakiwa wapumzishwe aisee,wamecheza game nyngi sana mfululizo,sema tu ndo vile hakuna mbadala wao pale benchi.
Tusipowafunga kuna replay tunaenda kwaoDaaah!! Hivi sheria za FA zinasemaje kuhusu kurudiana kupo au hii lazima mshindi apatikane?
Daaah!! Hivi sheria za FA zinasemaje kuhusu kurudiana kupo au hii lazima mshindi apatikane?
Tusipowafunga kuna replay tunaenda kwao