Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Is he that good? Au ni another Ricky Lambert?

i'd take Ings kama BackUp ST..

manake sioni BR akimbakiza Lambert au Borini this season, wote wanaondoka wale!!

So watakaobak ni sturridge and MB (sidhan kama Ni enough)..

Yet, tuna Origi ambaye yupo mbali sana na utayari kwenye EPL, as you can see, he's struggling at Lille (France), (Fans wa Lille wanalalamika kisharidhika na move ya LFC, anajiona Star tayar, Kuna kipind mashabik wa Lille walikuwa WANAMZOMEA) kiwango chake kimeshuka zaid, though anaazishwa pembeni!!! but hayupo tayar kwa EPL!

kwa BackUp kati ya Ings na Origi, ntamchukua Ings, Origi nitamleta kwenye championship side nzuri au Sunderland apate playing time kidogo!!!

So kama Lambert na Borini wanaondoka, thats another 2 ST's watakuja kucover, so ings kama Backup na Another recognized And Versatile ST kama Dyabala/Icardi/Jovetic itakuwa poa Zaid!!

Vietto bado hayupo tayar kwa EPL aisee!!! ndo anakuwa bwana mdogo!

Nadhan BR ataangalia sana America Kusini!!!


BUT, kama Ings ndo main target, Itakuwa dizaster Aisee,
 
MosDef;

Mkuu hawa British players siwaamini kwasasa ktk pesa, baada ya kupewa thamani sana katika bei za kununuliwa hivi karibuni, now nadhani wanakomaa kichwa kujithaminisha ktk mishahara mikubwa pia, Huwezi amini mtoto kama uyu Sterling anang'ang'ania zaidi 100,000/week, hadi leo vuta nikuvute ktk kusaini, Wakati mbrazil Coutinhho aliyetumwa pesa ulaya wala deal haikusumbua na kuzungushwa mezani kamwaga wino faster wkt wenzio deal zao ndio zilianza kuzungumziwa.

Nadhani wanashawishika kwa kuona DS15 akipokea 150,000/week.
 
MosDef;

Lambert, Borini, Baloteli wote wanaondoka mwakani

tunapanga safu mpya
 

Afu kuhusu DS ni maneno tu ya ITS, lakin mshahara wake kamili haujawa disclosed mpaka leo, kuna kipind nilijua alikuwa anapewa 150k, lakin baada ya kufanya dig'n kidogo nkajua hajafika huko..kutoka 60k mpaka 150k si masihara hasa kwa FSG!!!

Ngoja nikupe ujanja wa FSG kuhusu Suarez..

Unakumbuka kipind kile alivyoleta mambo ya kwenda Arsenal??? baadae ishu ikaja kupoa, kile kipind cha January FSG wakampa mkataba wa 200k per week, ambapo hiyo 200k ilikuwa aanze kulipwa msimu mpya unaonza (huu hapa)..actual amount katika mkataba wake wa Awali ilikuwa ni 160k so mpaka anaondoka alikuwa analipwa hiyo (na sidhan kama ndo ilikuwa actual amount)...KUMBE kama ulivyosikia FSG walikuwa wameshaanza maongez na Barca tangu November, FSG wakawapiga £75m, barca ikabidi wadeal na Diaz sasa mwenyewe ambaye akakubali "payCut" ya wages ili kujoin Barca, so hapa ni kwamba FSG walishakuwa wameelewana na Barca (nahis walikuwa washajua tu watamuuza) so kumuongeza mkataba january, ilikuwa ni kuondoa frastration kwa Fans tu, na kweli walitushika hasw!!!

So kwa mantiki hiyo ni ngumu kwa Danny kula 150k, kwa Sanchez si tuliishia kama Kwa Arsenal 140k!!!? ambao ndo mshahara anaopata SG huo..

So hendo kutoka kwenye 55k anayopata sahiv mpaka 80k sidhan kama itatokea kwa sasa!!!

LFC kinachotushinda kwenye Transfers, siyo Fee ni WAGES!! tunaOffer silly wages, hata CAN ilikuwa tumkose kwa ajili ya hizo Wages kama siyo BR mwenyewe kuingilia kati (ShoutOut kwa Hyppia pia)...


Si uliona Zile mbinu mbinu zilizotumika kuupunguza mshahara wa MB, good thing ni kwamba MB mwenyewe alikuwa Eager kuja LFC!!
 
MosDef;

Mkuu uyo jamaa kwenye red, hakua na ndoto kucheza LFC kumbuka alishaanza kuikataa LFC na kuitaka Arsenal kwa kuitajataja kwenye media kipindi hata haimuitaji ila sisi ndio tunamkomalia, tuliharibu zaidi kutaka kuifanya deal yake iwe ya ku exachange yani tupewe pesa + yeye kisha tuwape Barca Baba Benja, mbaya zaidi hakua na imani na BR. Kwake BR alikua ni manager wa kawaida sana kufanya kazi chini yake, ili aliliongea mwenyewe (hapa si yeye tu leo hii mastaa wengi wangefanya alichofanya ikiwa mshahara walioaidiwa huko kwengine na kwetu LFC ni almost the same, BR hana mvuto kwao), Wenger ni sababu ya uyo kwenda Arsenal, Sanchez alichokifanya ni kutia mgomo kuja LFC na kusubiri Arsena anayoiimba mdomoni i bid kwake, so Arsenal ilipo bid tena kwa maslahi ambayo si kama yetu tu, aliwapima ktk mzani BR na Wenger, aka opt Wenger. Remember tht Baba Benja alikua akipokea 160,000/week so ujio wa Sanchez na kulipwa 150-160 haukua ishu kwa FSG ndio maana tulimkomalia hadi mwsho uyu Sanchez na tulipomkosa tukakosa option, BR alikiri kua club ilipambana kumleta ila haikufanikiwa tu. Mkuu wajua kua Falcao kabla ya kwenda Man U alishafika makubaliano ya kuja LFC kwa mkopo kwa mshahara wa level iyoiyo???Ni kweli FSG wagumu kimishahara ila kwa mtu mmoja ama wawili kua top earner range ya 140,000-160,000/week sidhani kama ni ishu kwao maana SG top earner anaondoka alishafika mwsho na Baba Benja aliyekua juu katoka

I truly blive ths boy's salary it has been doubled, WHY?

1. FSG hawakuwa na shida ikiwa mtu aliyekua akipokea kikubwa LS7 alikua anaondoka, so ni kama replacement ktk salary kati ya LS7 na D15
2. Top earners wetu waliopo, SG8 na Johnson wote walikua mbioni kuingia kwenye pay-cut maana age yao imeenda so kupanda kwa watu wawili ama mmoja kimshahara ilikua kama replacement kwao, so kumuweka D15 haikua deal maadamu performance ya last season ilimbeba
3. Raheem kukomaa ni sabab tosha ya kutaka kujilinganisha na mwenzie Danny kua nae uko juu maana nae anaamini ni tegemeo kama Danny

Possible Danny anaweza awe hapokei 150,000 net/week but na hakika salary yake imelala range hii 120-150/week, pbm hata issue zikiwa hazijawa disclosed uwa hakuna siri, mfano mshahara wa Sanchez haujawa disclosed ila mimi na wewe leo hii tunajua ni kwenye iyo 140,000/week


 
Good News

LFC received a triple injury boost today with the news that Gerrard, Skrtel [neck] & Allen [hip] should all be available to face Swansea.
 
Mr. Wise;

Kwa Sanchez tatizo lilikuwa MOJA tu, tulienda LATE sana, Wenger alianz tangu World Cup, na sisi tulienda baada ya Barca kututolea nje kwa PEDRO, na kumbuka BR prefered zaidi deal ya PEDRO na Di Maria!! kuliko Sanchez, zilivyobuma ile kabla ya WC, ndo LFC wakaanza na Sanchez!!!!

kipind hicho chote cha negotiations, BR alikuwa keen na move ya Sanchez????

so kwa mpango huo Sanchez asingekuja kabisa, hata ungekuwa wewe usingekubali..

Mshahara wa Sanchez, ulikuwa disclosed kipind kile kile cha Negotiation, through Skysports, Arsenal website na LFC ECHO, kwenye Arsenal Website ilikuwa ni baada ya kusign ile deal!!

Kwa Danny, nitastick kwenye 100k-kushuka chini..labda mtu akija kuniprove wrong Aisee!! (na ninaombea iwe hivyo)..ili nipate kuujua UKWELI zaidi!
 
MosDef;

Mkuu gunners wamekuja late sana kwa Sanchez uki compare na sisi ukiondoa zile tetesi,na tuli battle sana, ukirejea interview ya BR after Sanchez kwenda Gunners utanipata. Sabab za Sanchez kututosa ni uchaguzi wake kua chini ya Wenger dhidi ya BR plus deal ya mbadilishano wala si sisi kua LATE, It was all about HIS (Sanchez decisions) ama msikie BR hata hapa jinsi alivyoonyesha kua disappointed kumkosa

"I think if you look at how I ask the teams to play, it is critical," Rodgers said, when asked about the impact of missing out on Sanchez. "Not just with the ball, but the intensity with the pressing. "When Daniel Sturridge was injured in August, I think everyone who knows football should hopefully be able to see that our game has become much deeper because of personnel.
"But Sanchez was identified for us as someone who would have been a key signing and really just a
roll on to what we had with Luis Suarez.
"He (Sanchez) is a world-class player and was regarded as somebody who could come here and be perfect for us.
"He is a brilliant footballer with outstanding quality and even bigger work-rate,
so to not get him was obviously bitterly disappointing.
"But once he was gone that was it. We just had to focus on what we had.
"It doesn't matter
(if I think he made the right decision). He made his decision, the best option for him, but he will probably give you that answer in 20 years."


Tetesi za Pedro ni rumours za magazeti tu, wazo la BR ni iyo Replacement LS7 kwa Sanchez kama asemavyo mwenyewe, maana hakukua na kitu cha kutuzuia sisi kumpata Pedro kwa kumtoa mtu kama Suarez, wala hajawahi hata kumzungumzia uyu Pedro. So si kwamba tulienda late ila ni SANCHEZ DECISIONS

 
Jordan Henderson has reportedly rejected a new contract with Liverpool after being offered £80,000 a week.

The former Sunderland midfielder was linked with a move to Barcelona and currently has 18 months left on his contract. Currently the vice-captain at the club, Jordan Henderson has been showing signs of good development under Brendan Rodgers which has caught the attention of some clubs.

Despite the rejection, Liverpool are confident that Henderson will sign as he is being tipped to be Liverpool's next captain after club legend, Steven Gerrard leaves at the end of the season. Jordan Henderson is determined to step up to the improved role at the club and feels he deserves the right contract with that role.

Liverpool have offered £15,000 a week more to his original contract, as the midfielder is currently on £60,000 a week at Anfield. However Jordan Henderson wants a deal closer to £100,000 a week.

Is Jordan Henderson worth £100,000 a week? Will he make a good captain after taking over from a player like Steven Gerrard? Comment below.

Brendan Rodgers returns to the Liberty stadium next week. Can Liverpool get all 3 points against the manager's former club?
 
MosDef;

Back up kwa nani? Maana mna 'maback up' wakutosha mazee

Msimu jana wakati Suarez yupo mlifanya vizuri sana na twin strikers kuliko hii ya sasa ya lonely striker. Kwanini msirudie ile formation na kununua a world class striker wa kucheza na DS hapo mbele, mtu kama Jovetic kuliko haya matunda ya msimu?
Kama ni lazima awe muingereza I will go for Charlie Austin kuliko huyo Ings
 

Aisee Austin????are u serious mkuu. Uyu Charlie ni mtu wa mipira ya juu sana mpira ambao LFC hatuna, Si mtembeaji ama mshughulikaji uwanjani kama Ings aisee. Ki umri, Austine 25yrs wakati Ings 22yrs na mkataba wa Ings unaisha summer atakua free, Kwa Austine tutapotea maana hata Ings bado naona tunapotea
 
MosDef;

Sure!!Bora kua na Backup ya mtu kama Ings kuliko kua na Lambert
 

Aisee mbona umeshtuka kama vile nimemcompare Ings na Ngasa? Au huyo Ings ana kiwango cha Aguero Mkuu? Maana kwenye ligi Austin ana goal 15, Ings anazo 9, kama una stats za kuonesha aina za magoli yao please weka hapa.
Hivi mshmbuliaji si anasajiriwa kufunga magoli? Atembee ye kiungo?

Burnley na QPR nani wanacheza mpira wa chini na wa pass? Prove me wrong lakini Burnley ndio wapiga pass ndefu na mipira ya juu EPL wakifuatiwa na Manure na ndiko anakofit Ings
Ukisema kigezo cha pesa nakuelewa completely but not otherwise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…