hahaaaaa kila lakheri Liverpool katika safari yenu ya Wembley lakini mjue mwezi wa tano nitakabidhiwa kombe mbele yenu
Leo wacha tulale vizuri 😀😀😀
Thanks a lot
Nilivyoona mimi......predictable, paceless, no creativity, lousy squad.
Ile timu ya mwanzoni mwa msimu huu imerudi tena.
Against a top side, tungepigwa hata 3 leo. Am not going to hold my breath kwenye semifinal vs Aston Villa....

FULL-TIME
Blackburn 0-1 Liverpool
Former Everton and Republic of Ireland winger Kevin Kilbane
at Ewood Park for 5 live Sport
Posted 21:55
"It's now Aston Villa at Wembley for Liverpool, and it's going to be so difficult for them to win this cup. Overall, Liverpool were moving the ball too slowly this evening - they did not have a creative spark in the middle or in the final third."
Angalau leo mtasahau machungu kidogo.
Niko ndani nacheki game na bendera yangu juu ajui itabaki au itaahushwaa
Ha ha ha ha ha ha kabisa na wacheza kupata team spirit ya kufanya vzur game ijayo, ila bado sana aisee
CARRAGHER ON STERLING's CONTRACT
View attachment 241527