Liverpool FC - You'll Never Walk Alone; Tukutane hapa utuambie hii comeback Ulikuwa wap?

RAKI BIG

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
394
Reaction score
456
Hii game bana me nilikata tamaa kabisa kwenda kuingalia nikaenda zangu kulala aise.sasa nipo kitandan usinginzi ushaanza kunichukua jamaa yangu akanipigia simu kwa shangwe.nikamuuliza vip mzee.akaniambia huku liver kapindua meza barcelona walituandalia ugali dagaa lakin sasa hali imebadilika tumepindua meza tumeweka biriani mezan gwijnalud kashapiga goli la tatu tunasuburi la nne huku barce mpka mda huu hawana kitu,nikakurupuka fasta mpaka bandani nakuta kelele za hatari.kufika namkuta trent ndo anapiga kona yake ya maajabu ilioishangaza dunia mara ikamkuta orig sijakaa sawaa cha nne hahahahaha.dah ilikuwa hatar sana .polen haters najua huu uzi utawakera ila ndo game zilivo

je ww tupe na stor yako ilikuaje.


 
Mimi nikesahau ata matokeo yake ivi yalikuwaje vile na wafungaji tafadhali
 
😂😂😂😂😂😂😂sasa hapo mkuu bacelona inamaana hawakufunga goli ata 1 si ndio
pamoja na mess wao alikuwa anakimbia kimbia tu uwanjana haeleweki
 
Iyo game bhana me niligoma kuiangalia nikawa nachungulia livescore tu, baada ya kuona gori la tatu tu ikabdi nikimbilie BANDA UMIZA 🏃
YNWA
 
Ka messi kaleeee! Hadi huruma
 
Niliangalia Hadi half time nikaenda kulala..
Wakati tunarudisha nasikia makelele nje nikajua leo tumepigwa kumi..
Naamka asubuhi nashangaa kumbe tumekuwa mabingwa dah
 
Hizo zimeshatokea mara nyingi tu, Barcelona vs PSG, As Roma vs Barcelona, Leeds vs Ac Milan kwa uchache
 
Niliangalia Hadi half time nikaenda kulala..
Wakati tunarudisha nasikia makelele nje nikajua leo tumepigwa kumi..
Naamka asubuhi nashangaa kumbe tumekuwa mabingwa dah
haha game ilikuwa na presha kubwa sana ile aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…