Liverpool hatocheza UEFA msimu ujao ,mashabiki wa Chelsea wafurahia kupata nafasi hiyo

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Tarehe 13 Chelsea anashuka dimbani kukipiga na Newcastle kwny mechi yake ya mwisho huku Liverpool akikutana na timu ngumu EPL msimu huu ya Brighton and Hoves.

Liverpool anashindwa kupata nafasi ya kushiriki Uefa msimu ujao baada ya tickets zake mbili kupotea kwa njia ya mazingaombwe.

Liverpool atapoteza mechi yake ya mwisho kwa ushindi mwembamba (0-1) dhidi ya Brighton,huku Chelsea akivuna point tatu kirahisi kabisa kutoka kwa timu nyepesi ya Newcastle kwa ushindi wa goli nne mtungi.

26/05 Liverpool atamalizia kabisa matumaini yaliyobaki pale atakapopoteza tena mbele ya timu bora ulaya ya Real Madrid huku wafungaji wa Madrid wakibaki kuwa walewale ie CR7 ,Bale na Benzema.

Poleni sana Liverpool tukutane msimu ujao tena
 
Ulichoandika ndani hakieleweki mana umeongea km tayari zishachezwa na matokeo unayajua wewe peke yako !
 
Chelsea jana ndio kajinyima asicheze UEFA. Maana angeshinda jana then akashinda mechi ya mwisho Angekua wa nne kwa kuangalia h2h. mnaojua ligi yenu EPL mtaelezea vizuri sheria zenu. Mm nishabobea Italy tu.
 
Huyu mshabiki wa chelsea au madrid sasa anajifariji tu...
 
Chelsea jana ndio kajinyima asicheze UEFA. Maana angeshinda jana then akashinda mechi ya mwisho Angekua wa nne kwa kuangalia h2h. mnaojua ligi yenu EPL mtaelezea vizuri sheria zenu. Mm nishabobea Italy tu.

Kwenye [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] hakuna H2H Bali Mukilingana Points panaangaliwa GD.
 
Ni kweli, Chelsea atashiriki UEFA UEROPA LEAGUE.
 
Chelsea jana ndio kajinyima asicheze UEFA. Maana angeshinda jana then akashinda mechi ya mwisho Angekua wa nne kwa kuangalia h2h. mnaojua ligi yenu EPL mtaelezea vizuri sheria zenu. Mm nishabobea Italy tu.
Hujui hata hiyo ya Italy kumbe, kwani Italy point zikilingana ni play off hawaangali goal differene wala H2h. lakini Nhi kama Spain na Turkey wanaangalia hiyo h2h.
 
Ramli ya kwanza imeshindwa.Timu yako ngumu imefungwa 4-0(4G).
Kwa mtiririko wa ramli yako, team yako ngumu na bora sana ya Real Madrid ni sawa na maharage kwenye ubwabwa au supu kwenye bakuli.
 
Ya kwanza imebuma. Tusubiri part 2.
 
Hujui hata hiyo ya Italy kumbe, kwani Italy point zikilingana ni play off hawaangali goal differene wala H2h. lakini Nhi kama Spain na Turkey wanaangalia hiyo h2h.
Wanaangalia magoli serie A
 
hahahaaaaaaaaaaa!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…