Liverpool hawezi kumfunga Manchester United hata iwe mbovu

Liverpool hawezi kumfunga Manchester United hata iwe mbovu

Ni swala la muda tu, ila liverpool lazima ampige man u pale OT, sijaona hata beki ya kumzuia mane, salah na firmino,

Mbaya zaid hakuna foward man u wa kufumania nyavu za liverpool hata kwa uchawi,

Manchester United ilicheza na Liverpool foward alikuwa ni Fellaini na United akashinda.
 
Hahahahaa! Man U jamani, kama ni kujifariji basi mmezidi.
 
Man u acheni kutembelea historia, kikosi chenu kwa sasa hakina uwezo wa kumfunga liverpool,
Yaan mashabiki wa man u wamebakiza historia hakumbuki msimu uliopita kapigwa na liver. Haya hivyo na historia nayenyewe haiwabebi hawakumbuki kuwa man kipigwa na na liver hadi kubadili jina la klab kutoka newton health fc kuwa man u
 
Wameshasahau goli mbili za shaqir mpaka wakamtimua murinyo wao 😂😂😂
 
Back
Top Bottom