Huncho Jack
Member
- Oct 4, 2019
- 9
- 19
Niliipoona tu jina Martial nikajua huyu ni punga la Manchester UnitedManchester United hata iwe mbovu kiasi gani hawawezi kufungwa na Liverpool.
Katika mechi 10 za mwisho za ligi
Liverpool win 1
Manchester United win 5
Draw 4
Naomba tubet πΆliverpool nisivyoipenda nitafurahi sana wakifungwa,
Ni swala la muda tu, ila liverpool lazima ampige man u pale OT, sijaona hata beki ya kumzuia mane, salah na firmino,
Mbaya zaid hakuna foward man u wa kufumania nyavu za liverpool hata kwa uchawi,
niliipoona tu jina Martial nikajua huyu ni punga la Manchester United
correct score Manchester United anakufa 5
Ww ngoja uoneVan Gaal mechi zake 4 za ligi vs Liverpool kashinda zote 4
NdiooooooMan u mnakwenda kuadabishwa
Man u 0 Liverpool 2
NdioMmhh ww n very sexy
kumbe na soka unapenda
LVG big match alikuwa vizuri sana, Si liverpool tu hata Man city walikuwa wanakaa, sometime hadi goli 4, na midfield ya Fellaini. Chelsea pekee ndio walikuwa wanamsumbua na mechi nyingi zikaisha draw.Van Gaal mechi zake 4 za ligi vs Liverpool kashinda zote 4
Yaan mashabiki wa man u wamebakiza historia hakumbuki msimu uliopita kapigwa na liver. Haya hivyo na historia nayenyewe haiwabebi hawakumbuki kuwa man kipigwa na na liver hadi kubadili jina la klab kutoka newton health fc kuwa man uMan u acheni kutembelea historia, kikosi chenu kwa sasa hakina uwezo wa kumfunga liverpool,
Wameshasahau goli mbili za shaqir mpaka wakamtimua murinyo wao πππYaan mashabiki wa man u wamebakiza historia hakumbuki msimu uliopita kapigwa na liver. Haya hivyo na historia nayenyewe haiwabebi hawakumbuki kuwa man kipigwa na na liver hadi kubadili jina la klab kutoka newton health fc kuwa man u