Liverpool inabebwa, goli la Salah offside waziwazi

Wewe mwenyewe hujui Sheria za mpira. Offside applies on opposition half. Salah alikuwa kwenye half yao wakati mpira umerushwa/umepigwa.
Sawasawa,,,wakati mpira unapigwa Mo alikuwa hajavuka chaki ya katikati
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kwanza huyu jamaa ilibidi aachwe na uzi wake, mwanaume unakuaje hujui sheria za mpira tena za kawaida kabisa, yani hata hiyo VAR haikujiangaisha kucheki hilo goli.. MMU inawaharibu aisee
Ni dume ila lina mbegu za kike kichwani huoni kaja na id yake ya kike kenge huyu
 
Still mfungaji alikuwa ndani ya half ground ameikimbilia pass kwa kuvuka MSTARI wa katikati hivyo akawa amevunja offside
 
Tulia dawa ikuingie mbuzi wewe

Sent using tofali la kuchoma
 
Hujui sheria za mpira wewe. Kipa akiwa nje ya 18 anahesabika kama mchezaji wa ndani. Kipindi mpira unapigwa De Gea alikua nje ya 18. 😂😂 kaa hivyo hivyo!

SIO HIYO TU. WAKATI ALISON ANAPIGA MPIRA MBELE,. MO SALAH ALIKUWA KWENYE NUSU YA LIVERPOOL NA KATIKA HALI HIYO HAKUWA OFFSIDE
 
Sio lazma iwe hivyo kuna Scenario mnaweza kuwa ahead ya last-but one defender na isiwe offside

Kama mchezaji anayetoa pass yuko mbele(ahead) ya anayepokea pass, haiwez kuwa offside

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Scenario nyingine ambayo mchezaji anaweza kuwa ahead ya last-but one defender na isiwe offside ni kama pass imetokana na mpira wa kurusha(throw in) au pigo la kona (corner kick)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio lazma iwe hivyo kuna Scenario mnaweza kuwa ahead ya last-but one defender na isiwe offside

Kama mchezaji anayetoa pass yuko mbele(ahead) ya anayepokea pass, haiwez kuwa offside

Sent using Jamii Forums mobile app
hii hoja haina uhusiano na tukio lilitokea.. Sheria zipo nyingi hawezi sema zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…