synthesizere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2019
- 878
- 1,255
Hapana sio kuonewa acha kujiteteaWangari Maathai njoo huku pliz naonewa
Nitathibitishaje kauli yakoHahahaha..wanahis ww dume? Jaman huyu ni mdad tena mtraamu!/jana kwa mara ya kwanza nimeangalia mpira jaman!..nikaondok dk ya 70! Kuna mkaka nilimpenda..simjui jina muafrica ni wa man u! Ana ndevu[emoji39]
Basi tunafuta hilo goli tunampa Martial na assist ya Alisson Becker tunampa Jesse Lingard.Nimeamini Liver inabebwa goli la Salah dakika ya majeruhi offside ya wazi kabisa.
Ngusero
Mm sio mshabiki Wa Liverpool lakini hiyo sio of side, half box ya man u haikua na mchezajiYule mchezaji wa man u aliekuwa anamkimbiza ndiye fala! si angesimama tu ili iwe clear offside! View attachment 1327946
Throw-in haina offside. Corner kick phase one haina offside kwasababu mpigaji anakuwa kwenye mstari ila ikiokolewa ikarudi offside rule ina apply kama kawaida.Scenario nyingine ambayo mchezaji anaweza kuwa ahead ya last-but one defender na isiwe offside ni kama pass imetokana na mpira wa kurusha(throw in) au pigo la kona (corner kick)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo anaepewa pass Yuko behind the play.Sio lazma iwe hivyo kuna Scenario mnaweza kuwa ahead ya last-but one defender na isiwe offside
Kama mchezaji anayetoa pass yuko mbele(ahead) ya anayepokea pass, haiwez kuwa offside
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kumbe ushajijibu mwenyewe.Hakuna sheria ya offside inayohusu kipa akiwa nje ya 18-yard box. HAKUNA. Sheria ya offside ni hii
Mchezaji anakuwa offside iwapo wakati anapewa pasi (akiwa kwenye nusu ya uwanja wa wapinzani) atakuwa mbele ya LAST-BUT ONE DEFENDER.
Last but one defender mara nyingi anakuwa beki, huku last defender mara nyingi anakuwa kipa.
Hakuna kipengele kinachohusisha kipa kutoka nje ya box. Kama kipo kiweke hapa.
Ngoja nikuongezee maarifa mjomba.Malcom hayupo sahihi mzee hakuna sheria ya hivyo,
SawaHapana sio kuonewa acha kujitetea
Mzee weka sheria ya offside hapa tuisomeNgoja nikuongezee maarifa mjomba.
Kipa anapokuwa nje ya 18 yake anaruhusiwa kudaka?
Jibu ni kwamba hawezi. Sababu ni kuwa kipa anamiliki sifa ya ukipa anapokuwa ndani ya 18. Anapotoka nje ya 18 tu, hahesabiki kama golikipa. Hapo anakuwa sawa na beki (Last Man).
Kwahiyo ukishakubali kuwa kipindi Allison anapiga mpira, De Gea alikua nje ya 18, urudi sasa kwenye maelezo ya hapo juu.
Ukikaza kichwa hutoweza kuelewa hata kidogo.
Kalagabaho!!Mzee weka sheria ya offside hapa tuisome
Sahihi sana nilitaka nisikoment kitu baada ya huyo mtu kudanganya hapo. Ukweli ni huu ulosemaWewe mwenyewe hujui Sheria za mpira. Offside applies on opposition half. Salah alikuwa kwenye half yao wakati mpira umerushwa/umepigwa.
You are wasting your time. Muache.Mzee weka sheria ya offside hapa tuisome
Mzee weka sheria ya offside hapa tuisome
Kitendo cha mpira kutoka nje mazingira ya advantage yanakuwa hayapo tena elewa hiloChukulia mfano foul imetokea pembeni mwa uwanja na linesman/refa wameamua iwe foul na mpira umetoka yaani kama isingekuwa foul ulitakiwa uwe wa kurusha, je mchezaji anaweza kurusha haraka haraka ikichukuliwa kama ADVANTAGE?
Yeah![emoji1690]Wewe mwenyewe hujui Sheria za mpira. Offside applies on opposition half. Salah alikuwa kwenye half yao wakati mpira umerushwa/umepigwa.
Sasa kumbe ushajijibu mwenyewe.
Kama De Gea alikua nje ya 18, anahesabika kama Last Defender, angalia na Mo Salah alikuwa wapi!!
Halafu bado unakataa kipa kuwa nje ya 18 sio sababu ya OFFSIDE.
Kwa kifupi majibu A na B ni sahihi.
Hahahaha..wanahis ww dume? Jaman huyu ni mdad tena mtraamu!/jana kwa mara ya kwanza nimeangalia mpira jaman!..nikaondok dk ya 70! Kuna mkaka nilimpenda..simjui jina muafrica ni wa man u! Ana ndevu😋
Au angemfanyia tu foul kabla ya kufika kwenye 18Yule mchezaji wa man u aliekuwa anamkimbiza ndiye fala! si angesimama tu ili iwe clear offside! View attachment 1327946