liverpool kiboko

Middle

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2007
Posts
244
Reaction score
7
hapana nafikiri kila mtu sasa anaitambua majoo wa jiji kuwa wanatisha
 
Ni uonevu tu!!
Sii hekima kumwonea mtu mnyonge ndugu yangu! Bao 8 kwa mtu Mnyonge- sii hekima!
Kwa nini wasiwafunge MU au Chelsia bao 8!
Hii ni uonevu uliopita kipimo!
 
hapana nafikiri kila mtu sasa anaitambua majoo wa jiji kuwa wanatisha


Nakuunga mkono, si uliona jinsi walivyotandaza ball siku ya fainali na AC Milam, hata kama walishindwa? Kwa hiyo na mwaka huu huenda wembe ukawa huo huo!


Sisi Red Devils wa Trafford tunawasubiri kwa hamu.
 
mie ngekua nna uwezo wa kumshauri benitez...ngemwambia afuate nyayo za mourinho mapemaaa ase this week yaweza kuwa mbaya mno kwake...asije akaishia timuliwa tuu ifikapo dec 16...maana atapata kipigo cha pili mfululizo kwenye ligi n yaweza ikawa hitimisho la kutolewa champs.league
 
Liverpool penati dakika ya nne 1-0 S. Gerrald baada ya kuangushwa.
 
Unajua Steve ana usongo sana. Kama kuna mchezaji mwenye mapenzi na timu anayochezea, basi Steve ni number moja.
 
Marseille 0 Liverpool 2

F. Torres scored 11mins
 
Hasira ya Mkizi: Liverpool wakung'utwa 2 - 0 na Chelsiki kwenye Carling cup. Crouch saw red

Nusu fainali Tottenham Vs Arsenal

Chelsiki Vs Everton
 
Kuteleza si kuanguka....
Taratibu tuko nyuma tunakuja

Liverpool 4 Portsmouth 1

Go Liverpool
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…