LIVERPOOL: Ligi tunainza leo, tukimfunga Man U

LIVERPOOL: Ligi tunainza leo, tukimfunga Man U

redSilverDog

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2010
Posts
470
Reaction score
76
Kama kawaida tunajua Vidic hawezi kumkaba Torres, kiufupi leo ni ushindi tu..:lol:

Wayne rooney hawezi kufunga magoli, yaani leo ushindi tu.:lol::eyebrows:
 
kila la kheri nipo na nyinyi kwa hili... ninavyo ichukia MAN UTD!! hata wacheze na KOPO mimi nitashangilia KOPO
 
poleni mwaka huu pia sio wenu, ila mkifanya mchezo mtashuka daraja
 
Ha ha ha ha eti wanaanza ligi? Labda ya netiboli ambapo huyu dada Tores anaweza kujiangusha angusha.....

Berbagoal says it all, huyo ndo pure class striker, sio huyu mrembo !!!
 
Msimu huu hata top 10 hamgusi na Torres ndio msimu wake wa mwisho
 
Mashabiki wa Man UTD waoga.. wameiona hii thread baada ya game kwisha walikuwa hawajiamini... kaka watoto wa emarates.. FULL CONFIDENCE Tunabeba makombe 3 mwaka huu:becky:
 
haya na yale, sis na man u hatuchekani msimu huu. Na wao kama kawaida mechi ijayo wata draw!
 
Kama kawaida tunajua Vidic hawezi kumkaba Torres, kiufupi leo ni ushindi tu..:lol:

Wayne rooney hawezi kufunga magoli, yaani leo ushindi tu.:lol::eyebrows:
Berbatov did it all!:confused2: so sad!
 
Kama kawaida tunajua Vidic hawezi kumkaba Torres, kiufupi leo ni ushindi tu..:lol:

Wayne rooney hawezi kufunga magoli, yaani leo ushindi tu.:lol::eyebrows:

Naona mmeanza ligi vizuri kwa kuwa Loser fools, mmeshindwa kuchagua meneja wa kuongoza timu badala yake mmewadhulumu Cottagers aliyekuwa anawawezesha. Dhuluma itawaua.
 
kila la kheri nipo na nyinyi kwa hili... ninavyo ichukia MAN UTD!! hata wacheze na KOPO mimi nitashangilia KOPO

du hiyo sasa ni balaa kweli ukiona mtu anakula jalalani usiulize kiwango chake cha kufikiri, yaani wewe heheeeee kweli kopo ni bora kuliko MAN U? vipi lile lenye mikojo ya mateja?
 
Kama kawaida tunajua Vidic hawezi kumkaba Torres, kiufupi leo ni ushindi tu..:lol:

Wayne rooney hawezi kufunga magoli, yaani leo ushindi tu.:lol::eyebrows:

ligi ya liverpool imeanza LEO???:becky::becky::becky:
 
Heheh Liverpool wako two positions above relegation zone...Mwaka huu lazima wagombanie mid table position na kina Everton au Fulham.
 
Back
Top Bottom