jogoo_dume JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 2,204 Reaction score 1,939 Dec 12, 2018 #21 Alvajumaa said: Liverpool next 6 fixtures Napoli H Man Utd H Wolves A Newcastle H Arsenal H Man city A Tunasubiri unbeaten baada ya hiyo ratiba Click to expand... Liver ni mteja kwa Manu haijalishi Manu ni mbovu kiasi gani na wanachezea wapi. Liver anachezea.
Alvajumaa said: Liverpool next 6 fixtures Napoli H Man Utd H Wolves A Newcastle H Arsenal H Man city A Tunasubiri unbeaten baada ya hiyo ratiba Click to expand... Liver ni mteja kwa Manu haijalishi Manu ni mbovu kiasi gani na wanachezea wapi. Liver anachezea.
farujeuri Senior Member Joined Jan 22, 2017 Posts 153 Reaction score 121 Dec 12, 2018 #22 Ndumbula Ndema said: Liverpool ni ngumu kuwawekea dhamana cos ni homa za vipindi Click to expand... Unamaanisha kama majogoo wa kisasa eeh...... Wakubwaa lakini wanalia chio chio chio...
Ndumbula Ndema said: Liverpool ni ngumu kuwawekea dhamana cos ni homa za vipindi Click to expand... Unamaanisha kama majogoo wa kisasa eeh...... Wakubwaa lakini wanalia chio chio chio...
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Dec 12, 2018 #23 farujeuri said: Unamaanisha kama majogoo wa kisasa eeh...... Wakubwaa lakini wanalia chio chio chio... Click to expand... 😀😀hawana tofauti
farujeuri said: Unamaanisha kama majogoo wa kisasa eeh...... Wakubwaa lakini wanalia chio chio chio... Click to expand... 😀😀hawana tofauti
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Dec 13, 2018 #24 jogoo_dume said: Liver ni mteja kwa Manu haijalishi Manu ni mbovu kiasi gani na wanachezea wapi. Liver anachezea. Click to expand... David moyes ukimwambia kauli hii hawezi kubaliana na wewe kamwe
jogoo_dume said: Liver ni mteja kwa Manu haijalishi Manu ni mbovu kiasi gani na wanachezea wapi. Liver anachezea. Click to expand... David moyes ukimwambia kauli hii hawezi kubaliana na wewe kamwe