Liverpool TV na Real Madrid TV kwenye king'amuzi cha Azam

Burton86jm

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
616
Reaction score
183
Jana nimefanya auto download katika azam tv na kupata liverpool tv na real madrid tv,ila bado kurusha matangazo yao ina display access denied
 
Itakua wanataka kuleta package nyingine,pia zimeongezeka chanel nyingine.
 
Wameongeza na nyingine za dini angalia kwenye page ya facebook.zitaanza kufanya kazi tr 1 mwezi wa 3
 
Wakiongeza yoyote itakayorusha EPL watatisha sana
 
Bora waweke za ligi za ulaya...DSTV wanatuibia sana...
 
RECORDED MATCHES kwa kwenda MBELE!
 
Mechi moja sky sports wanalipa 10.8mil pounds hivyo Azam ajipange sana na kuweza onesha hapo bado ngumu kiasi
 
hawa jamaa hata mimi nashangaa sana.kwa nini hizi zinakataaa kuonyesha! msemaji wa azam tv aje atupe updates kuhusu hyo kitu!
 
Recorded matches kwenda mbele kweli BPL tuwaachie wenyewe dstv.
 
Watuambia vifurushi vya Tsh 10000, Tsh 15000, Tsh 20000 watoe ufafanuzi vinanini sio kutuoa maneno waache ubabaishaji kama mawingu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…